Ni maneno ya busara ambayo raisi wetu ameweza kutamka na watu kumwelewa. My take. Mbona mtwara ameweza kumaliza kwa jeshi pekee hivi hakujua kuwa jeshi pekee...
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni Tomaso- (siamini mpaka niguse). Ila
jana nilipokua naangalia kipindi dakika 45 ITV nimesikia mambo mazuri ambayo ni tofauti na wengi walivyokuwa wanaongea kuhusu...
Thu May 23, 2013 9:34am EDT
* Mineral exports up 16 pct in 2012 to $2.3 bln
* Government to acquire 50 pct stake in tanzanite producer
May 23 (Reuters) - Tanzania is demanding almost $206...
Ni la $237m/- katika juhudi za nchi hiyo kuimarisha uhusiano wake na nchi 12 za kiafrika ikiwemo Tanzania.
Source: http://m.bbc.co.uk/news/world-latin-america-22669331
Brazil has announced...
Maoni ya katuni
Kumekuwepo na malalamiko ya kila wakati kutoka kwa wananchi yanayohusu utendaji na ufanisi wa Serikali kwa baadhi ya wizara ambazo huduma zake zina uhusiano wa moja kwa moja kwa...
Chama cha wananchi CUF kimeitaka serikali ya CCM iiombe radhi nchi ya Saudi Arabia kwa kuwakamata raia wake kimakosa kwa kosa la ugaidi na hivyo ni wajibu wa serikali kuisafisha nchi hiyo kwa...
ni baadhi ya maneno aliyowah kutamka baba wa taifa Mwl. Nyerere.. nackitika sana kwamba sasa watanzania wengi linapokuja suala la siasa.(exclusively siasa) wanaonekana wanapenda sana dini zao...
Kesho
Mawazo atawasha moto kwenye kata itakayorudiwa udiwani,jana alipitia
mabatini mwanza na kupiga mkutano wa hadhara akitokea Sengerema.VIVA
CHADEMA
watanganyika walio wengi husema eti zanzibar ikijitowa ndani ya muungano watapigana na kubaguwana
huu ni uzushi na khofu isiyo na msingi na kwanini watananyika muwaonee huruma wazanzibari...
Wana Bodi, sasa ni kipindi cha kusuka ama kunyoa, nawaeleza wazi kundi ili ni hatari kwa CDM chama kipenzi cha wengi hasa wenye akili timamu. FRM Membe, sitta, Mwakembe na Magufuri hawa...
MONDAY, MAY 27, 2013
Na Mashaka Mhando, Korogwe
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustapha Jaffer Sabodo ameipatia wilaya ya Korogwe visima vitatu vitakavyogharimu kiasi cha shilingi milioni...
Mimi nashindwa kupata jibu asilimia kubwa ya watanzania wamegeuza vyama vya siasa kama ushabiki wa timu za mpira wa miguu,wengi tunashabikia chama bila kujua faida na hasara ya chama...
Waziri wa Wizara ya Afrika Mashariki , Mh. SAMWEL SITTA anahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake huku akiwapasha CHADEMA kuwa wanashirikiana na vyama vya Kibwanyenye. Waziri SITTA amesema...
Jaman kuna huu msemo wa ktk BUNGE LETU TUKUFU
"NAOMBA KUONDOA SHILINGI KWENYE MSHAHARA WA WAZIRI" mimi bado cjauelewa vizur kama kuna mtu anauelewa wowote kuhusu huu msemo naomba aniambie maana...
Niwakati mwaafaka kwa Dr.Slaa kuomba urafiki katika timu makini ya CCM yenye uhakika wa kushinda kiti cha urais hapo 2015,atapata japo wizara nyeti serikalini ili kuongeza mapambano ya...
Mhe Magufuli amemlipua kwa kumwambia mhe. Arfi aache kuwapa lawama Tanroads kwani kazi yao inakubalika na wanajitahidi katika kujenga miundombinu nchini.
Pia mhe. Magufuli amemueleza mhe. Arfi...
Mjumbe wa NEC Ccm na Mbunge wa Simanjiro Christopher ole Sendeka leo akihutubia ktk Mkutano wa Kuwanadani Wagombea Udiwani Jijini Arusha amesema kwamba Ccm ni Chama kama Vingine na Kinaongozwa na...
Ni ukweli usiopingika kuwa waislam wengi hawajapata elimu dunia.Sawa hii ni kutokana na historia ya ukoloni wa nchi hii.Kwanini wasipewe upendeleo wa elimu kama wanavyopewa wamasai?
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo Mjin Adid Ababa Ethipia kwenye Kikao cha AU mbele ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bank M
Amesema Pamoja ma Nguvu za Kijeshi, Pia pande zote mbili...