Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JUMUIYA YA VIJANA CHAMA CHA WANANCHI CUF-(juvicuf) LEO 01/06/2013 IMEONGEA NA VYOMBO VYA HABARI, KUHUSUSHWA KWA MWENYEKITI WA JUVICUF KATANI A. KATANI NA SAKATA LA GESI MTWARA Ndugu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu wana JF kila dalili zinaonyesha kuwa kifo cha magamba kiko njiani na 2015 ndiyo itakuwa mwisho wake. Hii inatokana na kwamba ------ mwenye ameshayatangazia makundi yaanze kijipitishapishaja...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Maneno hayo ameyasema mbunge mtarajiwa wa jimbo la tarime ambae pia ni mwenyekiti wa umoja wa vijana chadema bavicha alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjin morogoro ... Pamoja na hilo la...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kwa mwenedo wa chama cha CHADEMA ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa CHADEMA...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Katika mkutano wao wa kwanza uliofanyika maeneo ya Kamficheni walipika wali na nyama kitu kilichofanya watu waliohudhuria mkutano wa chadema katika eneo la Maendeleo kuondoka mkutanoni kuwahi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JESHI la Polisi wilayani Igunga, mkoani Tabora, linashikilia malori nane mali ya Kampuni ya Kichina ya Sun Shine Mining Ltd, kwa kosa la kusafirisha shehena ya mchanga wenye madini bila kibali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
http://youtu.be/Rrl86Fo798w Uvumilivu wa kisiasa unahitajika kulinusuru Bunge letu
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Salam wanaJF, Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Endapo moja kati ya hizo itajitoa ama akitaka uhuru wake basi Muungano ndio utakuwa umezikwa rasmi, Hivi leo tumeona Mkutano mkubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
By Citizen Reporter Posted Tuesday, May 28 2013 at 22:12 In Summary •I call on you to demonstrate your leadership at the (G8) Summit by putting in place aggressive sanctions against...
7 Reactions
108 Replies
9K Views
Dodoma. Siku chache baada ya Waziri wa Afrika Mashariki Samuel Sitta kumhusisha Dk John Magufuli na kundi la urais la mwaka 2015, Waziri huyo wa Ujenzi, ameibuka na kupinga kauli hiyo...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Membe amesisitiza kuwa kama Msumbiji waliwashinda Malawi, basi watanzania wasiwe na shaka kwakuwa Tanzania haina shaka itashinda kuwa mpaka upo katikati ya Ziwa Nyasa.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefurahishwa na hoja ya Mhe. Mpina juu ya Serikali kupunguza matumizi yasiyo ya lazima pamoja ya ufisadi unaofanywa na serikali katika maeneo mbalimbali. Ila the way Mwenyekiti wa bunge...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
List ya Vyama Rafiki vya CHADEMA katika IDU Quote By Chasha View Post Associate members Country Party Abbr Government Argentina Republican Proposal PRO in opposition Belarus Partyja BPF PBNF in...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali ombi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyofungua kupinga maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, ya kuendelea kuwatambua Meya wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena kutakua na mikutano ya hadhara ya kukijenga chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya same. ambapo ratiba nikama ifuatavyo tar 9/6/2013 utafanyika mkutano kata...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara (wa amsha mwana Morogoro), utakaohutubiwa na Kamanda Dr Wilbrod Slaa (Katibu Mkuu wa CHADEMA), Siku ya Jomamosi, tarehe Moja Mwezi wa Sita mwaka 2013. Mkutano...
7 Reactions
88 Replies
7K Views
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania Zambia-millioni 1.9 Namibia-millioni 5.7 Africa kusini-millioni 6.2 botswana-millioni 4.023 kenya- walikuwa...
11 Reactions
122 Replies
63K Views
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema Moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema Moshi...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Hi! Mbona hotuba ya upinzani bungeni inashadadiwa sana na wananchi kuliko bajeti ya serikali? hotuba ya upinzani ni maoni tu kwa ujumla wake lakini wananchi wengi wakiwemo wana JF wengi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu wana JF tumekuwa tukishuhudia kila wakati ambapo kuna mijadala katika televisheni na watu wa kada mbalimbali kuhudhuria lakini katika mjadala wa kipima joto hapo jana katika ITV mtazamaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…