Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Anonymous
Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo. Jana askari wawili pamoja na familia ya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mfumo wa vyama vingi vya siasa bila Mikutano ya Kisasa ni sawa na kuwa katika mfumo wa Chama kimoja. Nashauri viruhusiwe sasa kwani tumeshavisahau yaani vinavyokumbukwa ni CCM, Chadema na Chaumma...
1 Reactions
3 Replies
694 Views
Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi Kubwa zaidi na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mji wa Sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa Rukwa. Baada ya suala barabara kukamilika kutoka Mbeya mpaka Mpanda kiwango cha lami usafiri umekuwa wa uhakika mabasi na magari mengi yana tumia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti == https://www.jamiiforums.com/threads/msigwa-hakuna-ndege-inayobeba-wanyama-mwenye-ushahidi-alete.2055025/
19 Reactions
225 Replies
16K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele. Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani...
27 Reactions
163 Replies
11K Views
Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Kwa sasa ni wazi kuna hujuma kubwa ya ujenzi ya uwanja wa ndege wa Mwanza. Nimebahatika kupitia pale kama raia na mlipa kodi wa nchi hii na kuangalia ujenzi ulivyo jengo lile ni kiwango cha chini...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu habari za mchana. Serikali yetu inapambana sana kuwaletea wananchi wake maendelea. Naipongeza kwa kazi nziri. Pamoja na hayo nna jambo ambalo limenifanya niandike uzi huu. Kuna service...
1 Reactions
2 Replies
892 Views
Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
RIPOTA PANORAMA MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM. Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania. Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa. Cha kushangaza na kusikitisha...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi. TUGHE ina matawi mengi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Back
Top Bottom