Habari za Jumapili.
Inavyoonekana Samia anatamani sana kumuachia Lissu kama mfalme Sedekia alivyotamani kumuachia Nabii Yeremia, ila kuhofia ushawishi wa watesi. Kama Pilato alivyotamani...
Sisi Wanachama wa CCM tumebaki kama Yatima tusijue la kufanya.
Watu pekee tunaosikia nyundo zao ni Gwajima, Polepole, Warioba, Lissu na Mpina. Tumewasikiliza mpaka vifua vyetu vijamaa.
Takribani...
Na Betty Kangonga | Tanzania Daima
TUME ya Utumishi wa Mahakama imemjia juu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) na kusema kuwa hakuna jaji mwenye upungufu wa sifa za kuwa jaji...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Agosti 18, 2025 ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Mheshimiwa pole Kwa mipango ya uchaguzi unayoendelea nayo.Kwa unyenyekevu mkubwa nimeona nikutumie salama, ningekuwa na namba yako ya mawasiliano ningekutumia private, Kwavile sina naomba uzipotee...
Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya. Kila mtu anajua ujanja wote wa wizi wa kura, kila mtu anajua viongozi wa uchaguzi, kila mtu anajua ACT Wazalendo na Chaumma ni pandikizi.
Hii ndiyo...
Kwakuwa Kwa sasa Chadema inafanyiwa hujuma mbalimbali.
Naomba wawekeze Katika majukwaa ya mitandaoni ,
Hizi Hujuma wanazofanyiwa Chadema zisiwe sababu za wao kurudi Nyuma.
Tone Tone iendelee...
Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi...
Nashauri Lissu amjumuishe Pasco Mayala ili awe ana-watch brief katika kesi ya uhaini. Kwa kuwa kesi inahusisha mwanasiasa na Mayala(manjaa) ni mwandishi wa muda mrefu wa masuala ya siasa na...
Kinyang'anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kusaka Wagombea Ubunge, uwakilishi na udiwani kilichofanyika nchini kote Agosti 4, 2025, kimefichua hatari kubwa inayokikabili...
Mfumo wa vyama vingi tunaoutumikia sasa haukuwa takwa la Wananchi walio wengi bali Dola iliulazimisha ili kuwafurahisha Wafadhili wa ubeberuni
Vijana ambao ndio wengi ili Wajue ni mfumo gani...
15 Agosti 2025
Kamati ya Maadili ya FIFA
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)
FIFA-Strasse 20
S.L.P. 8044
Zurich, Uswisi
KUMBUKUMBU YA MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KLABU YA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB...
Wanabodi
Dunia imebadilika. Masuala ya wagombea kutumia makaratasi na mbao kutengeneza mabango yamepitwa na wakati.
Kwanza ni uharibifu wa mazingira.
Watanzania wengi wana smart phones na vifaa...
Siwezi sema hakukuwa na matukio ya matumizi ya vyombo vya dola kutumika visivyo kwa maslahi ya Ccm[ kwa state party yoyo duniani hiyo ni 3.14]. Na wala siwezi sema utawala wa kikwete haukuwa na...
Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa...
Salaam!
Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi,
Sasa hili la kuajiri wagombea wa...