29 May 2025
Tokyo, Japan
PM MAJALIWA - JAPAN YAKARIBISHWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=OZi6y1z9ffE
Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa asema kuwa Japan imekubali sasa...
KIROHO ili Familia isonge mbele , au nchi isonge mbele , huwa haitajiki MTU mwenye mali na fedha pekee Ila anahitajika mbeba maono.
Ndo maana mmeona yule jamaa alikuwa na Mali hazina idadi , Ila...
Nchi yangu imekuwa kituko katika ukanda wa afrika mashariki na kati , viongozi wamejivisha ngozi ya kondoo wakihadaa wananchi wanafanya kazi kwa ajiri ya kuwaketea maendeleo ambapo kiuhalisia...
Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura...
Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu.
Si mpenzi wa CHADEMA.
Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli.
Sasa tunaambiwa:
-mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa
- utangazaji wa kesi sasa ni siri...
Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya...
Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu.
Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo...
......Therefore, advocating revolution or advocating even violent overthrow of State, does not amount to sedition, unless there is incitement to violence & more importantly, incitement is to...
Kama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu.
Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina...
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo...
Mpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji...
Hivi Ndugu yetu Tundu Lissu akiomba tu Msamaha mbele ya Watanzania kwani kuna ubaya?kuliko "vichekesho" hivi anavyofanya Mahakamani paleMahakama.ya Hakimu Mkazi -Kisutu wakati hata KESI yenyewe...
Rais Dk. Samia afungua
fursa kwa vijana EACOP
Na Mwandishi Wetu, Geita
Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imezidi kuwajali vijana, baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...