Moderator huamini Majina ya Mashahidi wa Lissu?

Moderator huamini Majina ya Mashahidi wa Lissu?

Acha kulialia hapa wewe Utafikiri mtoto mchanga. Moderator huyu mtu asiwafundishe kazi.
Kuna watu huwa wanahisi hawatakufa au pengine labda wanahisi wao wakifa hawataoza na kutoa harufu mbaya na kuishia kuliwa na sisimizi ardhinu. Nadhani watu wa aina hii mko wengi na kama mngetambua kama kila mmoja atakufa msingefurahia watu wengine wanapopitia mateso makali bila sababu zozote isipokuwa uonevu wa mamlaka
 
Back
Top Bottom