Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa chombo cha Habari au Mwandishi yeyote wa habari atayakefanikiwa kutengeneza documentary ya harakati ambazo Chadema imekuwa ikizifanya tangu mwaka 2005 katika kulikomboa Taifa hili kutoka...
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Mtazamo wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Udikteta vs Demokrasia. "Hakuna Udikteta Nusu" Haliyasema hayo July 23, 2023 Rais mstaafu J Kikwete anaeleza kuwa hakuna udikteta nusu au udikteta...
0 Reactions
4 Replies
760 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. Mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa kuweka usawa wa kibiashara katika miaka minne ya uongozi...
8 Reactions
140 Replies
15K Views
Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM. 1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya...
13 Reactions
80 Replies
8K Views
Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema kama kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky anataka kufanya mazungumzo ya kumaliza vita basi aende Moscow. Jambo hilo linaonekana gumu na...
2 Reactions
3 Replies
394 Views
Rostam ni muhindi kama walivyo wengine Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa...
0 Reactions
3 Replies
434 Views
Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm...
3 Reactions
25 Replies
991 Views
Hakika ''muda hutupa majibu'' na ''uzoefu ni mwalimu mzuri''. Ukifuatilia kwa kina chanzo cha siasa za upinzani hasa CHADEMA kukosa 'consistency' hii imechngiwa kwa kiasi kikubwa na 'uchanga' wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
== Serikali ya Awamu ya Sita imeongeza bajeti ya elimu bure kwa shule za msingi kutoka shilingi bilioni 5.6 mwaka 2020 hadi bilioni 7.5 mwaka 2025, na kwa shule za sekondari kutoka bilioni 6 hadi...
1 Reactions
8 Replies
507 Views
Kwa Nini pole pole anawatishia nyau wanaccm na Hasa Samia Suluhu hassani? Je Kuna mambo ya kishirikina yaliwekwa IKULU na Samia na pole na Magufuli Sasa polepole anaenda kuyasema Ili ccm...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Mkuu wa mkoa wa mara kupitia waandishi wa habari amesema yafuataya ,Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza kwenye umwagiliaji wa mpunga: Kijiji cha Mariwanda (Bunda) – TSh milioni 213.05 na Kata ya...
1 Reactions
12 Replies
767 Views
MAELEZO takwimu Jumla ya thamani ya miradi Tsh bilioni 426.3 Wadau wakuu RUWASA, BUWSSA, MUWASA, Mamlaka ya Maji ya Mgango–Kiabakari Miradi mikubwa ya maji 1. Mgango–Kiabakari–Butiama – Tsh...
4 Reactions
12 Replies
553 Views
Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025)...
4 Reactions
26 Replies
904 Views
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya...
0 Reactions
8 Replies
699 Views
GT Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari. Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake...
1 Reactions
9 Replies
365 Views
Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mtiania urais wa Tanzania wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameendelea kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili kumwezesha kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita...
7 Reactions
5 Replies
508 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…