Jamani nimeona vema niliweka hapa hili suala maana nimeambiwa na mmoja wa watumishi wa RA kuwa amenunua channel 10 na sasa ana mpango kabambe kuiimarisha!
Mwenye data zaidi, plz tuleteeni
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime amesema Jeshi la Polisi nchini limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu nchini
"Tukiona moshi...
Mabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya...
Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka.
Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na...
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua...
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna kifungu kinachopiga marufuku moja kwa moja kutumia neno au kauli ya "kukinukisha." Hii ni kauli ya kisiasa au ya mtaani ambayo haijaainishwa katika sheria...
CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹
Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM...
Mtandao Wazua Hofu
Wakati upepo wa siasa za CCM ukielekea uteuzi wa wagombea 2025, jina la Hussein Bashe na harakati zake za kupanga safu yake ya Wabunge linatajwa kila kona. Inadaiwa amepanga...
Huwezi kupambana na kuleta mabadiliko makubwa ya kikatiba kwa Nchi ambayo imeongozwa na chama kimoja kwa zaidi ya miongo mitano kwa harakati za barabarani (maandamano & mikutano ya hadhara) na...
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi...
Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na...
Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi...
Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025.
Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu...
Mhe. Luhaga Mpina anapendwa sana na wananchi wa Jimbo la Kisesa kule Wilaya ya Meatu. Alipotia nia ya kuomba uteuzi wa kuwa tena mgombea ubunge wa Jimbo la Kisesa CCM wakamkata jina.
Amejiunga...
Wakuu
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametoa kauli nzito akihimiza mabadiliko ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwepo kwa mchakato wa wazi wa kupata wagombea...
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili...
Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili...