Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, shalom!! Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, tayari tumekwisha ona homa ya Uchaguzi, HOFU kubwa ni kutoboa na kupata ushindi 2025. Wapo watia Nia ambao wamekwisha Anza compaign kabla ya Uchaguzi...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Naauliza tu Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
1 Reactions
8 Replies
530 Views
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo. Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya...
36 Reactions
122 Replies
4K Views
Nyaronyo Kicheere wakati huo akiandikia magazeti ya MAWIO na Mwana HALISI akinikosha sana kwa style yake ya uandishi akifikisha ujumbe kwa njia ya uchekeshaji wenye ukweli ndani yake . Mwalimu...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT. Tunaposema safari ya vyama vya upinzani bado ni ndefu sana maana...
1 Reactions
4 Replies
312 Views
Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Ningependa kumkumbusha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi kuwanunulia watoto wa maskin, mayatima na wasiojiweza viatu vya kuendea shule. Nakukumbuka enzi za...
2 Reactions
5 Replies
450 Views
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Nimefuatilia yanayoendelea hapa nchini kwetu, nimejukuta nikijiuliaza swali, hawa ndio viongozi wa kutuletea watanzania maendeleo tunayoyatamani kama nchi? Kesi ya Lissu bila shaka watu/viongozi...
4 Reactions
3 Replies
439 Views
Nakubalina na Rostam Aziz, Wawekezaji wa Nje waje ku compliment pale ambapo Wawekezaji wa Ndani wamekwama tena Kwa Ubia. Sasa taasisi zetu zikisia uwekezaji wao wanaweza Wazungu na hata Sasa wako...
5 Reactions
81 Replies
3K Views
Wakuu, Mmeona hii video ambayo Jambo wamepost? Kwa kweli kuharibu sifa ambayo umejitengenezea kwa wananchi ni dakika moja tu. Wananchi wamepiga spana kwenye comments hadi wameamua kuifuta Ni...
1 Reactions
9 Replies
933 Views
Leo Rais Magufuli amezindua jengo la Jitegemee linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi lililokarabatiwa, miongoni mwa taasisi zilizopo ndani ya ni studio mpya za AMGL zinazoendesha vituo vya Channel...
11 Reactions
55 Replies
8K Views
"Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
1 Reactions
7 Replies
456 Views
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi 2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi...
37 Reactions
254 Replies
51K Views
Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Dkt John Pombe Magufuli Magufuli muda huu ametembelea kituo cha televisheni cha channeli ten ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 42 ya chama cha...
17 Reactions
381 Replies
64K Views
Jamani nimeona vema niliweka hapa hili suala maana nimeambiwa na mmoja wa watumishi wa RA kuwa amenunua channel 10 na sasa ana mpango kabambe kuiimarisha! Mwenye data zaidi, plz tuleteeni
6 Reactions
77 Replies
16K Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime amesema Jeshi la Polisi nchini limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu nchini "Tukiona moshi...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…