Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole.
Sipendi...
Baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuendelea kutoa kauli kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini, Mwanachama wa CCM na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia...
Alichokiongea Polepole kimefanya nijisikie vibaya sana kwa sababu sijawahi piga kura tokea nizaliwe sababu moyo na ubongo wangu havijawahi kushawishika kufanya hivyo.
Najihisi kuvunjiwa heshima...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au...
Wapinzani wa kweli waliowezesha vyama vyao kupaa na kuingiza wabunge wengi bungeni akiwemo Lisu ni Mbowe na Maalim Seif tu Lisu hamna kitu
Mbowe na Maalim Seif walipambana hasa tume ya uchaguzi...
Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN.
Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna...
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini...
Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo.
Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.
Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono...
Tamaa ya kikwete ya ufisadi imeharibu hata mazuri aliyo wahi kufanya. Kama Ndugai wengi watasheherekea hasa baada ya haya ya CCM. Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Wanabodi.
Mimi ni mmoja katika tasnia hii. kuna malalamiko mengi juu ya kwa nini vyombo vya habari Tanzania haviandiki tuhuma bali vinaandika kanusho za tuhuma. mfano kama hii ya PolePole
Kwa...
Badala ya kuipa support ya pamoja timu yetu Watanganyika wakaingiza mambo ya Uchadema ana Uccm
Matokeo ndio hayo tumefeli wote kama taifa
Ahsanteni sana
Nawatakia Sabato njema 🙏
Lissu alivyo ongelea makaa ya mawe ya Rostam siku kutoka juu ikaona ni uhaini. Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji mkisubiria Chadema peke yao ingawa ni wazalendo wanazuiwa kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti...
Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu
Mbaya zaidi...