Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za...
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na...
Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza.
Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa...
Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala
Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
Habari wakuu
Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi.
Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo...
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuna tatizo kubwa linaloikumba sekta ya ulinzi na usalama nchini, na kusisitiza kuwa vyombo hivyo vinahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa ili viweze kutimiza...
Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!
Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi...
Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika...
Leo amekuja na mpya tena alivyokuwa East Africa radio kuhusu kuvaa fulana yenye picha ya Hyati JPM, mpina atachomoka kweli wakuu?
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa...
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa...
Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii...
Safari hii umeongea na umetamka wazi kuwa sasa ni bora hata CCM ife Taifa lipone kwa utakaloongea kwani Viburi vya viongozi vimezidi.
Leo umetamka wazi kuwa viongozi wa CCM wamejaa Viburi hii...
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na...
Jee Polepole mambo anayoyasema ni ya kweli au ni uongo? Kama ni uongo ukweli ni upi na una ushahidi upi?
Wakati Polepole alipokuwa kiongozi wa CCM, aliyokuwa anayafanya yalikuwa na baraka za CCM...
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanasiasa wengi hawapendi viongozi wa dini kushiriki katika masuala ya siasa kwa sababu wanaamini hatua hiyo inaweza kuathiri maslahi yao binafsi.
“Wanasiasa...
Kaimu Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Erick Joshua, amesema kuwa kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujaathiri uimara...
Nimeambiwa na mzee mmoja kuwa Polepole anajua mengi.
Jinamizi limekuwa likimsumbua juu ya hujuma alizofanyia Thomas Sankara wa Tanzania
Tusubiri. Maana kila kitu kitawekwa wazi