Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code...
6 Reactions
200 Replies
17K Views
Hofu ya vurugu imetanda mkoaniArusha, zikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo wamarudio katika kata nne za mjini humo. Tayari wazee wa kimila kutoka maeneo tofauti ya Arusha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama nyerere na wenzake waliopigania uhuru, utu, heshima na maendeleo ta taifa hili wakiwa vijana wabichi kati ya umri wa miaka 25 na 40, je vijana wa sasa tupo katika mwenendo sahihi wa kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Kwa hali ilivyo sasa ni wazi CCM lazima ife km haitapata maadui wazuri wa ndani na Nje.Adui wa nje Ubeberu sasa haupo na mabeberu ndio mabwana, maadui wa ndani bado CCM haijaweza kuifanya CDM adui...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
KAMA AMBAVYO KINYONGA HUBADILISHABADILISHA RANGI, CHADEMA NACHO NI KAMA KINYONGA. ANGALIA MTIRIRIKO HUU; 1. Baada ya uchaguzi 2010 chadema ilitangaza kutomtambua J.K lakini sasa inamtambua 2...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wapo watu wanajidanganya kila siku kwa kudhani kuwa The Hague wanashughulikiwa watawala tu. Nataka sote tujue kuwa The Hague inadeal na taasisi yoyote ndani ya nchi husika ambayo itakuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Amesema hawako tayari kuona watakuwa tayari kusukumwa. Amesema ukisukumwa mara moja sogea, ya pili sogea, ya tatu sogea ya nne chukua sheria ya Mungu....
1 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Raisi wa Tanzania akiwa Ofisini dr.dr.dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Watanzania.. ……Nakwenda kupiga kura yangu KESHO Elerai kwaajili ya watanzania wote wapenda demokrasia YA KWELI na maendeleo ya nchi yetu….. Thamani ya kura yangu ni kubwa sana na hakuna mtu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Haya waliyafanya katika uchaguzi wa Igunga. Na haya waliyafanya katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki
2 Reactions
5 Replies
1K Views
wanabodi kuna habari za uhakika kuwa mawakala wa ccm kwenye uchaguzi wa kesho ni mamluki wa *CHADEMA,habari hizo zinasema kuwa zoez hilo limefanywa na kiongoz wa wilaya ambaye pia ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
TWEET YA CCM YENYE KINGEREZA KIBOVU YAGEUKA VICHEKESHO KENYA Chini ni Baadhi ya Comments ziliandikwa na wadau baada ya Tweet hiyo: >This is very disappointing and the...
7 Reactions
306 Replies
25K Views
MIMI KAMA KIJANA WA KIMASAI NINALAANI KWA NGUVU ZOTE WANASIASA UCHWARA WA CCM KUWATUMIA VIONGOZI WA KIMILA WA KIMASAI KUENEZA SIASA CHAFU ZA UBAGUZI. HALAFU MKUTANO WA KIMILA WA KIMASAI MWIGULU...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Mimi sina mengi ya kusema ila mada hapo juu imejitosheleza naomba kuwasilisha ndugu wana jamvi
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za Muda huu Wadau, Baada ya kutafakari sana njuu ya lawama za watu wengi wanachama wa vyama vya upinzani na wale wanaowajibia vyombo vya ulinzi ambao ni wanachama wa Chama Tawala dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Bwana KAGAME amepata hasira na Tanzania na sio KIKWETE, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imezuia ulaji wake huko CONGO. Haiingii akilini Bwana KAGAME amtukane Rais wetu hazarani kwa sababu ya ule...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Wana Jf, Kwakweli kinachoendelea hivi sasa Arusha ni mkakati mbaya na mbovu kuweza kutokea kwenye siasa ya Tanzania. Kama mtakumbuka iliripotiwa hapa kuwa kuna magari ya ccm ambayo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kimsingi ili jambo lolote lifanikiwe ni lazima ukubali kukosolewa,maana kukosolewa hujenga uwezo mpya wa kubadili pale panapolalamikiwa na kuleta muonekano mpya,vilevile unapokubali kukosolewa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…