Raisi yupo busy

Raisi yupo busy

Status
Not open for further replies.

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,152
Reaction score
9,344
Raisi wa Tanzania akiwa Ofisini dr.dr.dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

ridh3.jpg
 
Anamwandikia rafiki yake w siku nyingi Mwigulu kwamba ushindi arusha ni lazima
 
Hapa sina comment maana hata sioni anachoandika
 
Ofisi yake kweli hyo, mbona imebanana sana

Ndicho nilichokisema hapo, Ofisi haina mazingira mazuri ya kazi, ofisi gani hii ,Komputer mezani?
Printer?
sasa ma PS wanafanya gazi gani? hawaamini?
yani hii ofisi inazidiwa hata za za MA-CEO wengi tu mjini.
Cheki huyu naye atleast..
1365633562kagame-kenyatta.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom