khairun
Member
- May 10, 2012
- 68
- 42
Bwana KAGAME amepata hasira na Tanzania na sio KIKWETE, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imezuia ulaji wake huko CONGO. Haiingii akilini Bwana KAGAME amtukane Rais wetu hazarani kwa sababu ya ule ushauri, Tena ushauri wenyewe unaonekana ukifuatwa tatizo la waasi wa Rwanda litakwisha. Hii nchi ya Rwanda ni wauzaji wa madini nje ya nchi huku wote tukijua kuwa RWANDA haina rasilimamili ya madini, wanapeleka mpaka mchanga wa madini nje ya nchi. TATIZO HAPA NI MASLAHI NA SIO USHAURI ALIOPEWA.Tuungane na nchi yetu katika hili.