VIDEO: Kazi za Green Gards

VIDEO: Kazi za Green Gards

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
824
Reaction score
2,102
Haya waliyafanya katika uchaguzi wa Igunga. Na haya waliyafanya katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa aliyepuliziwa dawa ya kuwasha anaendeleaje?
 
Hadi Kikwete amalize utawala wake watanzania mtakuwa mmenyooka!!! Kikwete is a smiling murderer!!
 
Kwamba polisi wanalalamikia vijana wahuni baadala ya kuwakamata!! Hata haiingii akilini! Kweli CCM na jeshi la polisi ni laana ya taifa!!!!!!!
 
Mbona imebaki kuwa tuhuma tu....'one side story....????????
 
Back
Top Bottom