Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba wazee na vijana wenye uzalendo na nchi yao wa kabila la kimasai wamepanga kufanya kikao kulaani vikali kauli ya wazee waliofanya kikao cha siri pale...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimefurahishwa sana na mipango ya serikali ya Tanzania kutoa mafunzo kwa vijana wetu mafunzo ya ukakamavu kupitia jeshi la Mgambo.Katika mkoa wa Njombe kazi imeanza vizuri na kwamba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Kala Jeremiah 'kumsafisha' Lowassa kwenye nyimbo ya Azimio la Arusha na kusema kuwa kama Dar es Salaam ingekuwa nchi rais angekuwa Lowassa kwenye nyimbo ya 'Karibu Dar'; sasa mwanamuziki...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Jamaa wa CCM hapa anasema kuwa CHADEMA sio chama cha siasa kwakuwa hakina political ideology. Anasema yuko CCM kwani CCM ni chama sikivu, CCM ni chama kinachopenda mabadiliko. Akiulizwa maswali...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Jembe la CHADEMA lenye ujasiri wa ajabu na linalojiamini kupitiliza Godbless Lema jana akihojiwa kwa simu na Radio 5 ya Arusha akiwa Mbeya, amedai anakwenda DSM makao makuu ya CHADEMA kuomba...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Nasikitikika kuona mara nyingi anafanya kazi nyingi ,kukata tepe za funguzi za majengo au miradi,hivi kazi ya makamu wa Rais ni nini,naomba ufafanuzi wanajamvi! UKANA SHILUNGO.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Kitendo cha Mkiti wa NCCR James Mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya NCCR na CHADEMA kuongoza halmashauri ya Uvinza yamesababisha CCM kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya...
8 Reactions
195 Replies
13K Views
WanaJF! Kuna taarifa za kuaminika zimenifikia kuhusu mpango wa CHADEMA wa kupata wanachama wapya kwa chama hicho wakilenga hasa vijana. Mpango huo wa CHADEMA umekuwa ukiratibiwa kwa ukaribu...
3 Reactions
140 Replies
12K Views
Diwani mteule wa CHADEMA kata ya Kaloleni aliyechahguliwa siku si nyingi, amewaomba wananchi waliomchagua kumwamini kuwa atafanya kazi kwa uadilifu mkubwa. Akihojiwa na kituo cha redio cha jijini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa maendeleo, jinsia na watoto bi Sofia Simba leo akiwa ziarani wilaya ya Mwanga amekiri kuwa mtiti wa CHADEMA hata wao kama wajumbe wa kamati kuu unawatia wehu. amesema hata hii mwanga...
17 Reactions
88 Replies
8K Views
Nimeikuta hii kwenye thread moja .............. yyani makamu hana kazi mpaka akakague shughulu za usafi jijini. Kwani kazi za Manispaa au jiji ni nini. Akizungumzia kuhusu tukio hilo (Bomu)...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvi? Naamini mko poa huko mliko. Kuna kitu ambacho mara nyingi sana nnapokifikiria kinanitatiza sana katika suala Zima la kumtunuku mtu kura ili awe kiongozi wako. Kwa kweli...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Kikwete VS Kabame ‘Tanzania tuko imara’ NI KWA KAULI YA VITISHO YA RAIS KAGAME SERIKALI ya Tanzania imeipa onyo kali nchi ya Rwanda ikiitaka isijaribu kuota ndoto za kuishambulia kijeshi...
9 Reactions
199 Replies
25K Views
Wakuu, Nilibahatika kukutana uso kwa uso na Mh. Christopher Ole Sendeka katika pita pita zangu. Baada ya mazungumzo ya hapa na pale nikamchomekea maswali kuhusu siasa ya Tanzania kama ifuatavyo...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Leo dunia nzima inasheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mandela akimwagiwa sifa kemkem na baadhi ya watu wakimuona kama Baba wa Afrika yote kwa inspiration na maambo mengi. But binafsi nikitazama...
14 Reactions
118 Replies
8K Views
Mkuu wa wilaya ya Tanga ameamuru afisa elemu wa wilaya akamatwe, kisa wametofautiana misimamo. Je huu ni utawala bora? Mawazo. Ni kuhusu majengo yaliyoachwa na mkandarasi aliyejenga barabara ya...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
hilo ni gari la serikali linalotumiaka na kituo cha Afya Ilembo..Mbeya Vijijini limekutawa likipakia abiria. Hii ni hatari kwa maana Mkuu wa afya anashirikiana na dereva wake katika biashara...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tulianza na nyerere 1961 - 1985 [miaka 24 madarakani] akafuata mwinyi 1985 - 1995 [miaka 10 madarakani] akafuata mkapa 1995 - 2005 [miaka 10 madarakani] akafuata kikwete 2005 - 2015 [miaka 10...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…