Ole Sendeka: Hali ya CCM kuelekea 2015 iko taabani

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
Wakuu,

Nilibahatika kukutana uso kwa uso na Mh. Christopher Ole Sendeka katika pita pita zangu.

Baada ya mazungumzo ya hapa na pale nikamchomekea maswali kuhusu siasa ya Tanzania kama ifuatavyo:
1. Swali kwa Mh. Ole Sendeka: unaonaje siasa ya sasa na je, CCM hali mliyonayo mnaridhika nayo kweli?
- Jibu la Sendeka: hali ya siasa ya Tanzania siyo mbaya, lakini lazima nikiri kuwa hali ya CCM ya sasa haielezeki, kuna mambo mengi yanahitaji kiti cha mwenyekiti.

2. Swali kwa Mh. Sendeka kama hali ndiyo hivyo na hakuna hatua inayochukuliwa na kiti cha mwenyekiti, hamuoni kwamba tayari CCM tunaji expose kuelekea 2015?
-Jibu la Sendeka: dogo nakuambia haya yote tunayaona, tunayajua, lakini kwasababu MWENYEKITI WETU HASHAURIKI HAAMBILIKI, wacha chochote kitakachotokea kiwe!

3. Swali kwa Mh. Sendeka: kwakusema hivyo unamaanisha kuwa nawe umekata tamaa kugombea simanjiro au?
-Jibu la Sendeka: unazungumzia 2015, nani anajua tutafika huko dogo? We mwenyewe hiyo picha inaonekana umekoswa koswa na bomu soweto halafu unazungumzia 2015 dogo vipi?

4. Swali: Ole Milya unamzungumziaje kuelekea 2015?
- Sendeka: Namshauri akasome kwanza siasa bado.

5. Swali: Unamaanisha nini kusema Ole Milya akasome? Milya ana degree ya sheria kutoka UDSM, au ubunge unatakiwa kuwa na elimu gani?
Jibu la Sendeka: dogo wacha hayo ni matusi asante kwa msaada wako wa jumper wire. Kwaheri.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mhh! hisia bwana hazitofautiani na ndoto za saa sita mchana
 
Simanjiro wapo hoi njaa kali na miundombinu mibovu; wameachiwa mashimo ya tanzanite ambayo nayo imeisha.
 
Wakuu,

Nilibahatika kukutana uso kwa uso na Mh. Christopher Ole Sendeka katika pita pita zangu.

Baada ya mazungumzo ya hapa na pale nikamchomekea maswali kuhusu siasa ya Tanzania kama ifuatavyo:
1. Swali kwa Mh. Ole Sendeka: unaonaje siasa ya sasa na je, ccm hali mliyonayo mnaridhika nayo kweli?
- Jibu la Sendeka: hali ya siasa ya Tanzania siyo mbaya, lakini lazima nikiri kuwa hali ya ccm ya sasa haielezeki, kuna mambo mengi yanahitaji kiti cha mwenyekiti.

2. Swali kwa Mh. Sendeka kama hali ndiyo hivyo na hakuna hatua inayochukuliwa na kiti cha mwenyekiti, hamuoni kwamba tayari ccm tunaji expose kuelekea 2015?
-Jibu la Sendeka: dogo nakuambia haya yote tunayaona, tunayajua, lakini kwasababu MWENYEKITI WETU HASHAURIKI HAAMBILIKI, wacha chochote kitakachotokea kiwe!

3. Swali kwa Mh. Sendeka: kwakusema hivyo unamaanisha kuwa nawe umekata tamaa kugombea simanjiro au?
-Jibu la Sendeka: unazungumzia 2015, nani anajua tutafika huko dogo? We mwenyewe hiyo picha inaonekana umekoswa koswa na bomu soweto halafu unazungumzia 2015 dogo vipi?

4. Swali: Ole Milya unamzungumziaje kuelekea 2015?
- Sendeka: Namshauri akasome kwanza siasa bado.

5. Swali: Unamaanisha nini kusema Ole Milya akasome? Milya ana degree ya sheria kutoka UDSM, au ubunge unatakiwa kuwa na elimu gani?
Jibu la Sendeka: dogo wacha hayo ni matusi asante kwa msaada wako wa jumper wire. Kwaheri.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Thead tam sana ila naomba ufafanuzi hapo penye red mkuu
 
Nimeongea na baadhi ya vigogo wa CCM, wanasema sasa hivi hawapangi tena mbinu za kuimarisha chama, badala yake CDM ndio agenda kuu. Wanatumia muda mwingi kujadili CDM kuliko matatizo yao ya ndani. Mwanasheria/kada mmoja akasema, Ufa uliokuwepo CCM, CDM hawaitaji nguvu kubwa kutuvunja. Kama ni homa basi temperature ipo 41C
 
Sass hivi kwa CCM imefikia muda Wa kufa. Ni kwamba Chadema imeharakisha tu kuiua CCM ila bila hata Chadema CCM isigekuwa Na maisha.
Wameiba, wamekula, wamevimbiwa sasa hivi lazima wapasuke
 
mwehu yyte lazima ataropoka hivyo
 
Nimeongea na baadhi ya vigogo wa CCM, wanasema sasa hivi hawapangi tena mbinu za kuimarisha chama, badala yake CDM ndio agenda kuu. Wanatumia muda mwingi kujadili CDM kuliko matatizo yao ya ndani. Mwanasheria/kada mmoja akasema, Ufa uliokuwepo CCM, CDM hawaitaji nguvu kubwa kutuvunja. Kama ni homa basi temperature ipo 41C

unazungumzia hii cdm ambayo inamwagia watu tindikali, inalisha watu sumu au hii inayopanga mauaji?
 
Nimeongea na baadhi ya vigogo wa CCM, wanasema sasa hivi hawapangi tena mbinu za kuimarisha chama, badala yake CDM ndio agenda kuu. Wanatumia muda mwingi kujadili CDM kuliko matatizo yao ya ndani. Mwanasheria/kada mmoja akasema, Ufa uliokuwepo CCM, CDM hawaitaji nguvu kubwa kutuvunja. Kama ni homa basi temperature ipo 41C
cdm = sumu + tindikali +mabomu + mauaji
 
Watu wengine bwana eti kakutana na sendeka kwani sendeka ni mtoto wa mtaani mpaka ukutane naye mtaani,hii hoja nyepesi jenga tena nyingine.
 
Jk alisema yeyote anayeiombea kifo ccm ataanza kufa yeye kwanza na kuicha ccm ikisonga mbele.
 
eti katika pitapita zangu! sendeka ni mtu makini. usimzushie ambayo hajayasema. jk anashaurika na ni msikivu
 
Mkuu inafahamika kwamba hivi sasa ni aibu kubwa sana kwa Mtanzania yoyote kuwa mwakilishi wa ccm , hasa kwenye ngazi ya kata , tawi na ujumbe wa nyumba 10 , wengi hawataki hata kujulikana kama ni viongozi wa ccm ! Hivi hii inakuwaje mazee ?
 
Back
Top Bottom