CCM kinafahamika kama Chama Cha Mapinduzi. Neno CCM lilianza kutumika mwaka 1977 mara baada ya TANU kuungana na ASP.
Neno mapinduzi na dhana nzima ya Mapinduzi namna vinavyotumika na CCM...
Wiki hii nilibahatika kusoma gazeti Makini la Mawio litolewayo kila alhamisi. Ktk makala yaliyonisisimua ni pamoja na ile iliokua ikimzunguzia msajili wa vyama vya siasa John Tendwa kwa matamshi...
Ya Papii Kocha na tweets za Nyalandu, Januari, Kikwete!
Evarist Chahali
Uskochi
Toleo la 308
24 Jul 2013
WAKATI taifa likiwa katika maombolezo ya vifo vya mashujaa wetu saba waliouawa huko...
Kutokana na nchi za karibu kuatarisha amani za mipaka yetu .na viongozi wanaoanzia na JK (Jakaya Kikwete , Julius Kambarage ) ni viongozi ambao siasa zao ni kali aswa kwa maadui wanaotishia amani...
Wana JF Heshima kwenu.
kwa mujibu wa katiba ili uchaguliwe lazima uwe Mwanachama wa chama. Hata mpya uwezekano wa mtu kuwa Rais bila kuwa mwanachama ni Vigumu, sijasikia duniani mgombea binafsi...
Hapo Jully 25 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Mh. J. Kikwete atakuwa katika kambi ya mashujaa na wanaukombozi ya Kaboya wilayani Muleba mkoani Kagera.
Kwa kuzingatia...
Diwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kata ya Tai Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Christopher Masiori amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa...
Katika hali ya umasikini tuliyotiwa na CCM kwa miongo na miongo, daladala moja ilizima gafla huku abiria mmoja mwanamke akilalama eti huu ni upuzi mkubwa unapanda daladala uwahi kufika harafu...
Bomu la Arusha liliambatana na matukio mengi sana ya kustajabisha. Tukio la kwanza ni la bunge ya jamhuri ya muungano kuchunia mauaji yale bila kutoa pole na kutoa wasaa kwa wabunge hasa wa sehemu...
Hembu tueleweshane jamani kwa anayeelewa.Hizi kesi walizofungua mamluki ,huku wahusika wa CCM wakiwapa back Up mafichoni na baadaye kushindwa vibaya.Nani atawasaidia kupia fine zitakazowakabili...
Mchana huu M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa CCM MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye nyumba zao kabla TINGATINGA...
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida, Mamlaka za Serikali mjini Bukoba, baada ya kuona upepo wa kisiasa mjini Bukoba kwamba kuna hatari kubwa Rais Kikwete akakosa wananchi wa kumpokea na kushiriki...
Jana,Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikaririwa akisema kuwa kila mkoa utakuwa na kiwanja cha kimataifa cha ndege katika kipindi kifupi kijacho. Ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Kagera.Wangapi tupo...
"Ufisadi na uongo ni kansa ambazo zinaondoa kabisa uwezo wa viongozi kuendesha nchi zao sawasawa. Hapa Tanzania kusema uongo ndio utamaduni wa kisiasa kiasi cha kwamba wanaosema ukweli ndio...
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa...
Najiuliza mara zote iwapi misingi ya uzalendo na mapenzi kwa nchi yetu? Nyakati hizi tuandae uzalendo kwa watoto wetu,tuache uchumia tumbo na kutokujali vizazi vyetu; ufahari wa mabilioni na...
Kwakweli nimeliweka mkononi kwa bahati mbaya hata nilichokuwa nakitafuta gazetini humo sikijui.
Lakini kwenye kurasa zake za katikati leo hii Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM, nimekutana na...
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu...