As constitutional councils across Tanzania continue to deliberate on the first draft of the Constitution, Ambassador Ali Abeid Karume says the three-government structure proposal will break the...
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Mathias Chikawe, amesema kama Watanzania watakubali muundo wa serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Katiba Mpya, kutahitajika mabadiliko makubwa...
Na Haji Mtumwa,Zanzibar
TUME ya Mabadilikoya Katiba imeshauriwa kuzipa uwezo wakumiliki Bank Kuu nchiwashirika wa Muunganowa Tanzania ili kuzifanyakuwa na uhuru wamatumizi ya kibenkiambayo...
Mke wa Rais, Bi. Salma Kikwete, akisalimiana na wananchi aliowafuturisha nyumbani kwake Lindi Mjini.
Salma Kikwete pia ni mwenyekiti wa taasisi ya WAMA ambayo kwa mujibu wa spika Makinda wa...
Ningependa kupata taarifa fupi ya sheria mlizopitisha kwa bung lililopita zinazolenga kuboresha mazingra ya wajasiria mali wadogo wadogo pamoja na kukuza ajira kwa vijana na mazingira ya haki...
Nimeamua andika hiki kwa masikitiko sana,
Hotuba ya JK niliisikia, JK hakuwa ktk normal mood.Kwanza hakuwa anakubaliana na wenyeji wake mkuu wa mkoa, wilaya etc...hata matatizo aliyosomewa...
Wanajamvi habari zenu.
Napenda kuchukua fursa hii kumuomba Dr.W.Slaa kuja hapa jukwaani kujibu hoja mbali mbali ambazo zimejitokeza kwa kipindi ikiwemo
Kutomtambua Tendwa
Brigedia Nyekundu...
Wanabody...inaweza kuwa kichekesho ila ni hali halisi.Leo hii tundu Lissu akihitajika kusimama ktk nafasi hizi nadhani karibu zote watu watapata shida kuamua.Na wengi watapata shida kwa vile...
WANANCHI wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamechangishwa fedha kwa ajili ya mapokezi ya Rais Jakaya Kikwete ambaye yuko ziarani mkoani humo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, kilichoko...
Mimi siamini kama serikali imechoka sasa kama Pinda alivyosema Bungeni hata kama alikuwa msemaji mkuu wa serikali. Mimi nafikiri yeye amesema "....tumechoka sasa... hizi ni hisia zake na...
Katika kila tukio kuna mazingatio na si vibaya ukajifunza kutoka kwa mwenzako, busara inaonesha wajibu wa kujifunza ni muhimu kutoka kwa watangulizi wako lakini kwa yale yalio mema na wakati...
wananchi walituamini wakatupa nchi tuwaletee maendeleo,sera tumesha uza,kazi yetu ni kuwapa tulicho waahidi ili uchaguzi ujao watupe ridhaa tena. hatuna muda wa kubishana na wakupambana na...
Habari Zenu,
Wakati taifa letu, Tanzania, inapita muda mgumu( wivu ya jirani) kuhusu migogoro ya Ziwa Nyasa(Malawi) na Rwanda, watanzania tunasubiri tamko yenu, hasa hasa CHADEMA, kuhusu hizo...
Wana bodi,
Mtakumbuka kwamba miezi kadhaa iliyopita CCM kupitia wingi wa wabunge wake, walipitisha sheria juu ya kuzuia "Fao la kujitoa" kwa wanachama wa mifuko ya hifadh...
Sasa leo ndo ukweli...
Julius Nyerere International airport, the country's premiere gateway, is coming under international scrutiny following the seizure of drugs worth roughly $7 million (Sh11.4 billion) in three...
Waungwana wanaJF nimejaribu kufuatilia baadhi ya viongozi (wanasiasa) wetu nikiwa na lengo kutaka kujua je ni kweli wanaijua siasa au ni wanasiasa tu wenye nia ya kurahisisha kula yao kupitia...
By Bernard James, The Citizen Reporter | Saturday, July 27 2013
Inspector General of Police (IGP) Said Mwema, 60, will step down in December, we can authoritatively report.
Mr Mwema, who...
"Ukimwona kijana anashabikia na kukereketwa na CCM leo, ujue akiwa mzee atakuwa mchawi" nakiri kuwa usemi huu si wangu, ila niliusoma humu JF [some three days back] kutokana na comment ya mkuu...
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.