Mke wa Rais, Bi. Salma Kikwete, akisalimiana na wananchi aliowafuturisha nyumbani kwake Lindi Mjini.
Salma Kikwete pia ni mwenyekiti wa taasisi ya WAMA ambayo kwa mujibu wa spika Makinda wa bunge letu tukufu, bado haijukani kama ni ya serikali ama ni yake binafsi, lakini hata hivyo hatua ya kupeleka futari kusini imepokelewa kwa furaha kutoka kwa muwakilishi wa Ikulu na serikali yetu sikivu.