UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.
 
daah ,hongereni....na week end hii mbona raha sana
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

Bosi wenu hapo kinondoni {Dr Slaa} amewaongezea kiasi gani cha posho per post kutoka kiwango cha sasa cha tsh 300 per post?
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

mkuu, kwa kiwango hicho kama hutaongeza nyumba ndogo nyingine utaishi vizuri. maana kama sikosei hiyo 42400 ni nyongeza ya kile ulichokuwa unapata awali. hongera sana. ila kumbuka kuwakumbuka wazazi wako japo fedha tu ya kusagia, sabuni na mafuta ya taa
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

Mwalimu wangu hiyo sio nyongeza bali ni CPI imepanda na mwaka huu ni kama 11.4..%, hebu piga mahesabu kidogo kutoka mshahara wako wa mwaka jana kama hutapata hiyo percent? bado serikali yenu inakufanyieni usanii tu na dawa au fimbo nzuri mliyonayo ni nyinyi kuikataa serikali ya CCM na kuweka dozi ya kutosha kwa wanafunzi wenu nao waikatae CCM 2015
 
Nimeiona yangu ka yako,ila bosi wetu hataki masihara extra duty laki4 kila mwezi uhakika.Sasa wafundishe wanafunzi kuichukia serikali na CCM

wAFUNDISHE WANAYOTAKIWA KUFUNDISHWA..... ETI MTAALA UPO AU? WEWE NDO UIFUNDISHE CCM BY 2015.
 
Nadhani kunahaja kuitazama upya matamko mbalimbali kuhusu nyongeza ya mshahara, labda kama huyo mwl atakula dagaa maisha yake yote, pia bei ya dagaa inapanda. Serikali ijitazame upya kuhusu hilo vinginevyo mnh! mnh.....! (?)
 
Say no ccm emedeatetly teacher, wala usifelishe hawa viumbe wetu tafadhali, hoi an hoi.
 
Mwalimu wangu hiyo sio nyongeza bali ni CPI imepanda na mwaka huu ni kama 11.4..%, hebu piga mahesabu kidogo kutoka mshahara wako wa mwaka jana kama hutapata hiyo percent? bado serikali yenu inakufanyieni usanii tu na dawa au fimbo nzuri mliyonayo ni nyinyi kuikataa serikali ya CCM na kuweka dozi ya kutosha kwa wanafunzi wenu nao waikatae CCM 2015

Serikali ipi haitafanya usanii. Hii migomo inaweza kuithiri sana Chadema endapo watashika dola. Mi nasubiri post mwakani kwa mtindo huu wa kushabikia maneno ya Wanasiasa wazazi wenye watoto shule za serikali inakula kwenu. Subirini mazero ya watoto wenu.
 
Mkuu ebu angali vizuri unaweza kuwa hujaongezewa mshahara kabisa. Tuki assume minmum wage imebakia kuwa same, halafu PAYE imeshuka kutoka 18 hadi kumi na Tatu 5% utakua na increase in net income by 5%

Kama kima cha chini kimeongezwa kwa 6.1% ina maana kiasi kilichoongezeka hakina kodi yeyote so net effect ya msharahara is equal to increase in minimum wage increament.

Total effect effect 11.1% kwa maana nyingine mshahara umeongezeka kwa serikali kuongeza expenditu ya 6.1% (increase in min wage)
 
Hebu maticha wote mseme HOYEEEE na muitikie kidumu chama na fikra za mwalimu mukoba au tamimu.
 
Mkuu ebu angali vizuri unaweza kuwa hujaongezewa mshahara kabisa. Tuki assume minmum wage imebakia kuwa same, halafu PAYE imeshuka kutoka 18 hadi kumi na Tatu 5% utakua na increase in net income by 5%

Kama kima cha chini kimeongezwa kwa 6.1% ina maana kiasi kilichoongezeka hakina kodi yeyote so net effect ya msharahara is equal to increase in minimum wage increament.

Total effect effect 11.1% kwa maana nyingine mshahara umeongezeka kwa serikali kuongeza expenditu ya 6.1% (increase in min wage)
Hizi kodi mpya za simu, ndo zitakazosaidia kwenye ongezeko la gov expenditure by 6.1%
 
....Ukinicheka shambani nitakucheka sokoni TUKUTANE KWENYE NECTA RESULTS.

Mkuu usifanye hvyo,wanafunzi hawana makosa tafuta namna nyingine ya kuleta mgogoro na muajiri wako bila kuathiri wanafunzi make hyo dhambi itakurudia tu.
 
Back
Top Bottom