DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,688
Zamani enzi ya umri wa ujana wa kubalehe [Teen] tulikuwa tuna ufahamu wa kujua hata dira ya Taifa ambayo ilipewa na nembo ya Bibi na Bwana ikiwa na maneno UHURU NA UMOJA. Na mwasisi wa maneno haya ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Ndani ya dira hiyo mwongozo wa Taifa kutoa haki, na kusimamia ustawi wa Jamii ndipo matawi ya AMANI na UPENDO yakazaliwa.Je Leo dila hii ndiyo inayotumiwa na vyama nchini au kila kimoja kina dila yake?
Kwa ufahamu wangu DIRA ni ALAMA [MARK] ya kuanzia mwelekeo halisi wa wapi unapokwenda.Hata Ujenzi wa nyumba wakati wa kuchimba msingi uwa kuna alama maalumu za kushikia chanzo cha kuchimba msingi huo, iwe ni ujenzi wa barabara nk alama hizo uwa ni za msingi.
Kupitia JF naomba viongozi, wapenzi na wanachama wa vyama vya siasa [CUF, CCM, CDM, NCCR nk] niambieni hii dira ya UHURU NA UMOJA ni alama aliyoiasisi Baba wa Taifa kama DIRA YA TAIFA letu,ilivyo simama HAINA ITIKADI nataka kujua Je mna dila zenu mpya kwa mantiki ya kuwa mmevumbua zenu,zitambulisheni kwetu watanzania.TUTAMBULISHENI TUJUE KINAGAUBAGA KUWA DILA ILE ALIYOIASISI BABA WA TAIFA HATUNAYO TENA? Nina ombi kwa Watanzania kwa kuanza na JF kuanza kampeni ya vyama vya siasa kuanza kutamka wazi wazi DIRA YA TAIFA yani kuyatamka WAZI NA KUWAAMBIA wapenzi, wanachama na wakereketwa wa vyama vyao kuwa DIRA YA TAIFA ni UHURU NA UMOJA na kama wanampya waliovumbua basi wawajuze watanzania kuwa DIRA MPYA YA CHAMA X ni hii.
Kwangu mimi Taifa kwanza [T1] dira ya Taifa langu ni UHURU NA UMOJA.yako wewe ni ipi?