Mbunge wetu wa Jimbo la Mbinga mashariki wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010,ulituahidi wakazi wa mbinga kuwa utajenga Chuo hapa Mbinga mjini hadi sasa hakuna ulichofanya na hakuna taarifa yoyote kwa wananchi kuwa umefikia wapi kuhusu hili.
Tekeleza ahadi zako 2015 sio mbali, usije ukaanza kutafuta mchawi.
Tekeleza ahadi zako 2015 sio mbali, usije ukaanza kutafuta mchawi.