Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye hii "Clip" hapa chini Ali Hapi alionekana kuwakemea "wastaafu" aliodai wakati ule kuwa walikuwa wanamkwamisha Rais John Magufuli kwenye juhudi zake za kuijenga Tanzania. Ukiisiliza clip...
2 Reactions
6 Replies
421 Views
Rais gani unaogopa kutaja majina ya wauzaji wa madawa tu ya kulevya unaishia kusema Tu wakina Fulani hata makonda anakushinda anathubutu kuwataja.Au mafisadi unafanya nao bargain Khaa badala ya...
0 Reactions
3 Replies
352 Views
Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025. Ambapo nitawaeleza kwa kina juu...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Ahahaha 🤣 🤣 🤣 Hii nchi ina wajinga wengi kweli. Tangu tupate uhuru honestly mtetezi wa kweli asiye na chembe chembe za utapeli, uoga, rushwa na asiye muoga ni Lissu. Watu wamemweka ndani kwa...
1 Reactions
19 Replies
936 Views
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
91 Reactions
2K Replies
180K Views
Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi. Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru. Bado kama Taifa...
2 Reactions
20 Replies
807 Views
Al maruhum Sheikh Yahaya Husein alitusimulia maono yake kua,baada ya JMK atakuja mtu mweusi,mchapa kazi halafu mchekeshaji. Huyu atamaliza dakika arobaini na Tano za kwanza,lakini arobaini na...
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia...
13 Reactions
56 Replies
6K Views
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano...
5 Reactions
65 Replies
3K Views
Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upigaji
3 Reactions
38 Replies
9K Views
TANZANIA PROJECT 2035 VISION Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Sijaandika kama naota au nimekurupuka, Japo CHADEMA chini ya Mbowe huwa hawapokei kabisa ushauri wowote ule, mwisho wa siku hawaendi mbali, na hawarudi nyuma kuangalia walipodondokea. Mbowe ni...
29 Reactions
209 Replies
18K Views
Hadi sasa nipo njiapanda sijui nishike wapi, kwanza nina uchungu kwa tunayofanyiwa na tuliofanyiwa na tutakayofanyiwa yani nimechanganyikiwa hadi pumzi inatoka kwa shida kila nikizunguka Jf ,X, Ig...
1 Reactions
16 Replies
657 Views
Kwanza amewatia aibu na kuwaaibisha sana vijana wote Tanazania kwa kukosa utii na kugeukia unafiki na umbea ambao hauna maana wala faida yoyote.. Pili, Ni wazi utovu wa nidhamu wa Hamphrey...
7 Reactions
140 Replies
4K Views
The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Sikiliza mazungumzo ya dakika 18 makini za Muislamu wakweli https://youtu.be/-lGWIQBFbc0?si=L0igqkSoczC5wpR2
8 Reactions
34 Replies
2K Views
https://youtu.be/pK4Uq9CvIkY?si=unUxxicIY6p9sr9M
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kangi Lugola amepanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Mara waliojitokeza kumpokea Mgombea Mwenza wa nafasi ya...
3 Reactions
8 Replies
738 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za...
1 Reactions
6 Replies
570 Views
Sina chembe ya udini Ila nataka mnieleweshe imeandikwa wapi kwamba urais ni wa kupokezana ? Imeandikwa wapi kwamba akitoka Rais mkatoliki anakuja muislamu? Imeandikwa wapi wapi kwamba Rais akiwa...
2 Reactions
10 Replies
635 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…