Rais Samia apiga selfi na wananchi wa Kibaingwa

Rais Samia apiga selfi na wananchi wa Kibaingwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,923
Reaction score
6,553
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.

Screenshot 2025-08-30 183239.png
 
Hiki ndio anacho weza TU. Na wapigaji wanajua ilo kuhusu YY.wacha wale nchi tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Just imagine unalipwa elf kumi ili uende kwenye mkutano kusikiliza 🤣🤣 na dom maisha makali ivo waache
 
Back
Top Bottom