Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,927
- 6,577
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro aliyemaliza muda wake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Njau, amefika katika Jimbo la Hai na kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo lililopo mkoani Kilimanjaro, akiwaomba kura za mgombea urais, ubunge na madiwani wa CCM.
Njau ametumia maandiko ya Biblia yanayoeleza nguvu ya mwanamke katika uongozi, alipokuwa akiwaomba wananchi kumpa kura Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye nafasi ya Urais.
Njau ametumia maandiko ya Biblia yanayoeleza nguvu ya mwanamke katika uongozi, alipokuwa akiwaomba wananchi kumpa kura Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye nafasi ya Urais.