Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera,
Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio.
Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi...
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na...
Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu...
Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia...
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege...
CHADEMA Sijui kama itapona nimeona mada tena leo eti Mwigamba nae ni masalia. Kama kweli fitina ndani ya chadema zinaandaliwa na ccm basi ccm imekomaa kisiasa kwani mbinu nyingine ya kushinda...
Karma,Novena vimeanza kujibu,yule Mzee aliyeenda nyumbani kwa Baba wa Taifa kumsema vibaya kumbe Baba wa Taifa anamsikia dirishani,wengine wanaita press halafu hawatokei wanakatazana wenyewe kwa...
Asante kwa kuamua kusoma peji hii. Naamini utajadili hoja ukiwa na fikra huru na c utumwa wa fikra.
Wapo watu wengi sana wanaozani kuwa kumkosoa mbowe ni kuitukana chadema hili si kweli kabisa...
===
Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo...
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye...
Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini...
Bila shaka Polepole anauwasha moto! Na kwa namna anavyoachia vipande vyake kwa awamu, inatisha, na kuogopfya ,hasa kwa wahusika!
Bahati mbaya Kuna segment kubwa tu ya Watanzania hawajuai hata...
Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona...
Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia...
Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu)
Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi
Unasikia Yuko wapi Jakaya...
Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania kabla ya Rais Samia
Siasa za Tanzania zimepitia vipindi vingi vya ushindani mkali, lakini haijawahi kushuhudiwa hatua ya kipekee kama ile iliyofanywa na...
Na Mwandishi Wetu,
Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae...