Jana Agosti 29, 2025, Humphrey Polepole kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alidai kwamba mtungi wa gesi ya kilo 15 nchini Cuba unauzwa kwa shilingi 2,000 za Kitanzania.
Kauli hii imeibua...
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo...
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi...
Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya...
Jengo la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshawekwa alama ya X ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kulibomoa kupisha barabara za juu (Tazara Fly-Over).
Meneja wa Wakala wa...
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare...
MWENYEKITI wa Wazee na mwasisi wa Chama cha NLD, Tozz Mtwanga, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwanadiplomasia wa kweli.
Amesema katika historia ya Tanzania haijawahi kutokea Serikali...
Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa.
I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila...
Wewe uliyepata Cheo leo jiangalie sana, CCM wakiamua kukuhujumu hawashindwi, Unaambiwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania aliundiwa zengwe na wanaccm wenzake na kusingiziwa kwamba...
Ukipita mitandaoni, utagundua kuwa kwa sasa kuna watanzania wanaomba jambo moja very serious lifanyike ili nchi irudi kwenye mstari
Mtu anashauri jambo very serious lifanyike na anapata comments...
Mzee Kikwete kawa mstari wa mbele katika kuhakikisha taifa la Tanzania linakuwa tulivu kwa kushauri uongozi uliopo madarakani kama mstaafu wa taifa hili.
Wengi wanabeza ushiriki wake katika...
Njama za kumuua hayati JPM
Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.
Kuporomoka kwa maadili
Wizi wa kura kupitia Inec na Nida
Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Wapendwa wanaJF,
Kwanza niwaombe radhi kwa kukaa kimya kwa muda mrefu baada ya kutoa part II na kuahidi kuendelea kutoa part III ambayo ingekuwa ya mwisho. Ninajisikia vibaya kwa kukaa kimya...
Serikali ya Mkoa wa Simiyu, imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kampeni kutoa lugha za kichochezi, kueneza chuki na kuwagawa wananchi kwa misingi ya itikadi, kabila au dini...
Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.
Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha...
Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07
Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kupitia uongozi wake imetangaza Septemba...
TAARIFA KWA UMMA
KUAHIRISHWA KWA ZIARA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOKUWA IFANYIKE NCHINI CUBA
Havana, 07 Novemba, 2024
Wizara ya Mambo ya Nje...
Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa.
1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara...