Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana. Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
MAPINGAMIZI YA UCHAGUZI NA HAKI YA KUWAKILISHWA NA MWANASHERIA Ni raia yangu kuwa wagombea Urais, ubunge na Udiwani wapewe haki ya kuwakilishwa na wanasheria hususani mawakili katika mchakato...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya Urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi sana na ukizingatia ameshakula maisha...
25 Reactions
54 Replies
3K Views
Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba. Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli. Sent using Jamii Forums mobile app
23 Reactions
176 Replies
16K Views
Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
39 Reactions
146 Replies
20K Views
Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu Tulia akson Tangu ateuliwe na Magufuli kama "mbunge wa Dar" (Ndipo alipo pigia kura ya meya), alianza maandalizi ya kupata ubunge wa kuchaguliwa, mwanzoni nguvu zote alizielekeza huko kwao...
18 Reactions
36 Replies
5K Views
UPOTOSHAJI WA ZITTO KUHUSU MIRADI 2. BANDARI Mwaka 2017-2019.. Mikakati imefanyika kuimarisha BANDARI na Kuongeza Mzunguko bandarini. a. Kupunguza Tozo za Bandari Lake Tanganyika(kutoka Dola...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha...
42 Reactions
113 Replies
10K Views
Yaani nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu. Maana kama;- WAFANYA BIASHARA. Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer...
20 Reactions
49 Replies
5K Views
Kuna kanuni zilizowekwa kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi wa namna ambavyo wagombea wanatakiwa kuzifuata wanapofanya kampeni kushawishi kura za wananchi. Kabla ya kuteuliwa na NEC wagombea hawa...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
SALUM MWALIMU: MNAAMBIWA MZAE WAKATI HUDUMA YA MAMA NA MTOTO NI MBOVU Mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu akiwa Wilayani Same amesema, Rais Magufuli anawaambia watanzania wazae...
21 Reactions
48 Replies
8K Views
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko...
7 Reactions
69 Replies
4K Views
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa...
15 Reactions
387 Replies
27K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama...
3 Reactions
168 Replies
28K Views
Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini: "Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi...
68 Reactions
134 Replies
17K Views
Amani iwe juu yenu. Uchaguzi ni ushawishi, Sera na misimamo ya mtu. Ili uchaguliwe inabidi uwe unauwezo wa kumshawishi mtu kupitia Sera zako na vipaumbele vyako. Waambie wananchi umefanya nini...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni kama game ni ya upande mmoja tu, kampa kampa tena na hakuna namna CCM inaweza kuambulia chochote bali kuna tetesi kwamba mgombea wao wa ubunge anafikiria kujitoa. Hata ungekuwa wewe kwa hali...
15 Reactions
18 Replies
4K Views
Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa. Habari ya mjini ilikuwa CCM au Magu, kila ukigeuka kushoto, kulia, nyuma au mbele ni CCM au Magu...
16 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom