Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mama hajiamini ingawa ni Rais kwasababu anaogopa wale ambao anafikiri wanamzidi ujuzi. Kwasababu ya kutojiamini kunaleta utamaduni wa kujipendekeza ili Mama aweze kukuamini kama wewe ni msomi...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Huyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
1 Reactions
11 Replies
750 Views
Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Mr President, Ningekuwa na muda ningekueleza mengi sana. Muda wangu ni kidogo sana ndiyo maana nashindwa hata kupost mambo mengi kuhusu taifa hili hapa JF. Ninatuma post hii si kwa lengo la...
148 Reactions
1K Replies
154K Views
Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni...
34 Reactions
86 Replies
4K Views
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo: 1. Mradi wa JNHPP ni...
-1 Reactions
36 Replies
2K Views
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii. Inawezekana...
3 Reactions
15 Replies
680 Views
Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%. Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu. Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya...
1 Reactions
2 Replies
608 Views
Tarehe hiyo Imelazimika kupangwa "kinguvu" baada ya kelele za Wadau wa Hapa JF na kwingineko. Kiukweli hawakutaka kabisa kupanga Tarehe Mwezi huu, Tunataka Lissu any'ongwe kabla ya Samia...
20 Reactions
79 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini. Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga. Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati...
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Wakati mnatueleza hayo ni vema mkaambatanisha na Risiti za malipo hayo. Tulijua ni Malori na Mabasi tu, lakini kumbe hata Treni zinatumika.
20 Reactions
123 Replies
5K Views
Watanzania bado tunaogopa. Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Tokea Nizaliwe ndoto zangu hazijawahi kwenda wrong! Mimi sio kama wale wengine kina Britannica, wakiota ndoto zao hazitokei 😂
2 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Ndugu H. Polepole leo ameanza kuelezea bei ya mtungi wa gesi wa Kilo 20 Cuba ambayo ni 2000/= TZS na kusisitiza hapa Tanzania tunapigwa na Mafisadi, huku Gesi tunayo lakini mtungi ni 60,000/=...
49 Reactions
139 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…