Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema. Lissu pia akaenda...
18 Reactions
88 Replies
7K Views
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea...
17 Reactions
133 Replies
6K Views
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu. Aidha, alifananisha uongozi wa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya moto wa No reforms no election kuwa mkubwa, wakubwa wakastuka, wakaja na mkakati wa kuhujumu movement hiyo, hata hivyo katika kutekeleza mkakati wao wakajikuta wanafanya makosa ya...
69 Reactions
115 Replies
6K Views
Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana. Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi...
1 Reactions
13 Replies
714 Views
Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya...
19 Reactions
84 Replies
5K Views
Dark days are coming before the general election 2025. Wanaocheka watalia 2025 Wanaolia watacheka 2025 Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi Mwaka mgumu Sana kwa machawa. Mungu ibariki Tanzania !!
63 Reactions
103 Replies
9K Views
Wakuu, Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar. Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Askofu Gwajima amesema "Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma, Mungu huwa anatuama watu kwa kusudi maalumu, na Mungu akiwatumwa watu huwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF siasa. Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Samia kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa...
1 Reactions
12 Replies
735 Views
Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
"Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, alishusha tuhuma kuhusu mtu anayeitwa Abdul, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda nyumbani kwake kumhonga. Alizungumza kwa mara ya...
10 Reactions
109 Replies
4K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga...
24 Reactions
173 Replies
10K Views
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024...
37 Reactions
359 Replies
15K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia...
2 Reactions
9 Replies
765 Views
Utangulizi Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefunguka kuhusu safari yake ya kisiasa, mapambano ya kidemokrasia, na mwelekeo wa chama...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana! Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba...
28 Reactions
253 Replies
25K Views
Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom