Sina chembe ya udini Ila nataka mnieleweshe imeandikwa wapi kwamba urais ni wa kupokezana ?
Imeandikwa wapi kwamba akitoka Rais mkatoliki anakuja muislamu?
Imeandikwa wapi wapi kwamba Rais akiwa...
Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi
Afrika
1...
Nadhani mnakumbuka Ile Serikali ya Wazalendo ilivyovurugaga bei za mazao ya wakulima hususani mbaazi ililosa wanunuzi na bei kuporomoka Hadi kuuzwa Shilingi 200 Kwa kilo.
Sasa Samia amefungua...
Naamini Lissu ana taarifa zote za yanayoendelea huku nje japo yeye yuko behind bars kwa tuhuma zisizo na kichwa wala migiu zaidi tu ya watu kutumia vibaya madaraka yao.
Hata hivyo, watesi wa...
Shuhudia 'vibe' la wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiwa katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuelekea uchaguzi...
Just for curiosity!
Kwa status yako kusikia kuwa unashindana na DP, Chaumma, TLP and the like ni kujishushia hadhi!
Ilinganishe na Albert Einstein kushindana na mtoto wa form six katika...
Hivi ndivyo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu alivyokaribishwa jukwaani kuwahutubia wafuasi wa chama hicho kwa wimbo...
Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya...
Wakuu
Nimeona taarifa katibu tawala mmoja amehitimu mafunzo ya ugambo (Jeshi la akiba) hii ina maana gani?
===
Askari Wapya 178 wa Jeshi la akiba wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga...
Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi.
Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho.
Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini...
Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi.
Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya...
https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU
“The first ever president to elect herself”
Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena!
Banana republics huwa walau zina matumaini flani...
Unaweza kusema mvua imetibua uzinduzi wa kampeni za Chama cha Kijamii (CCK) zinazoendelea leo Jumamosi, Agosti 30, 2025, katika viwanja vya Kwa Tesha, Mbagala Kijichi jijini Dar es Salaam.
Hata...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko...
Rekodi hii inawekwa jukwaani ili siku asipokuwepo tumkumbuke sana.
Alianza na upitishaji wa Sheria ya bima ya Afya kwa wote na Sasa ameleta njia ya utekelezaji wake na akaenda mbali yaani...