Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania;
Kwani alipotoka ni...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Saashisha Mafuwe leo Ijumaa Septemba 5,2025 amefanya ziara yakuwatambulisha kwa wajumbe na wanachama wa chama...
Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi...
Kwanza hoja alizowasilisha kutetea mtandao ni dhaifu sana, hazina mashiko yoyote na zimejaa ulaghai mtupu.
Anaposema mtandao ni jambo la kawaida kwenye demokrasia je nchi hii ina demokrasia...
Waswahili husema Ng’ombe wa shughuli ya hitima akikata kamba hachinjwi tena anabakia kuwa mlinzi wa Zizi hadi afe mwenyewe
Naiona Siasa ya 2030 itakuwa imebakia na vyama viwili tu CCM na Chadema...
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.
Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji...
Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025.
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari...
Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa...
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya Maxence Melo kuwa JamiiForums imevamiwa siku ya leo.
Tunaungana na JamiiForums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi...
By Jacob Maganga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya...
Hamjambo!
Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.
Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha...
I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP) Saumu Rashidi ameendelea na kampeni zake mkoani Mara na kunadi sera za chama hicho, huku akiahidi kuwajaza fedha mifukoni...
Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV.
Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia.
Wapo makasuku humu wanamwandama...