Wakuu!
Mnakumbuka Agosti 28, 2025, Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika Viwanja vya Tanganyika Packers, jijini Dar es Salaam...
Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu!
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea...
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.
Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale...
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri...
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma...
Inaaminika na waamini kuwa kila binadamu aliyezaliwa huwa na kazi maalum ya kumaliza hapa duniani, na wakishaikamilisha hiyo kazi basi hunyakuliwa mara moja na kuiacha dunia.
Hivyo inaminika...
Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya...
Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange' na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa...
Salaam!
Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa.
1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo.
2.Migodi ya dhahabu yumo,
3. Makaa...
Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa...
Inasikitisha sana kuona miradi ya watu binafsi inasimamisha miradi mikubwa ya nchi ambayo ingesaidia vizazi na vizazi.
Hawa wanaoitwa "Wanamtandao" ni MAADUI NAMBA 4 wa Tanzania baada ya UJINGA...
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .
Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .
Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.
Hakikisha...
Naam!
nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea...
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano na wananchi Dakawa, Morogoro, aliahidi kukamilisha kituo cha afya na zahanati, kujenga mstari wa umeme wa 220KV kutoka Morogoro hadi Dumila, na...
Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu.
Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini.
Wengi walitajwa, na bila shaka chuma...
Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile...
Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi?
Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.