Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni
Taarifa fupi ya timu yetu ya...
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya...
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.
Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika...
Amani iwe nanyi Wanabodi.
Baada ya kulielezea kundi la Wanamtandao napenda tena kuwaletea Uchambuzi mdogo kuhusu kundi kinzani la Wajamaa ndani ya Chama cha Mapinduzi. Hawa wanajulikana kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu.
Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu...
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.
Hata waliokua wakimfuatilia na...
1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015
2. Kifo Cha Chacha Wangwe.
3. Kifo cha Sokoine
4. Kifo cha Membe
5. Kifo Cha Dr Mengi
6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila
7...
Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni...
Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee wetu Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu mtu huyu wengi kwa kumshukuru Mzee Mengi kwa mema mengi aliyoyatenda watu wengi ila...
Mimi, Charles Andrea Kulwa, nimepokea barua yako leo tarehe 28/08/2025 ukiambatanisha na barua yenye Kumb. Na: RM/INEC/SB/01/25 ya tarehe 28/08/2025 iliyoandikwa na Raymond N. Mwema; ukinitaarifu...
Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k
Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni...
Mlimbwende kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania na aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ameweka wazi Rais Samia kumrahisishia mazingira ya kazi zake kupitia taasisi yake ya Wema wa Mama na...
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.
Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa...
HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025
Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti
Misimamo...