Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huwa nawatafakari sana Watanzania wa kizazi hiki wanaoimba kikwete alikuwa anapenda demokrasia. Najiuliza je Dr. Ulimboka au Mwangosi naye anasema hivyo hivyo Marehemu huyu? Najiuliza waliouawa...
12 Reactions
108 Replies
9K Views
  • Closed
Kama Taifa kuna muda lazima tukomeshe baadhi ya mambo nafsi inanisuta na imenisuta sana kukaa na baadhi ya mambo ambayo Nina ushahidi kabisa ! Utekaji lazima ukome, Wizi serikalini unaofanywa na...
153 Reactions
305 Replies
21K Views
Habari Jamii forum Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo , Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia. Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki...
50 Reactions
149 Replies
6K Views
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa chama hicho na Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Dodoma, Aisha...
1 Reactions
3 Replies
336 Views
Tuweni wakweli, Tanzania pesa ipo ukichapa kazi , Watumiaji wa huduma za kutuma na kupokea pesa kupitia mtandao wa simu nchini Tanzania wameongezeka kutoka milioni 32.7 mwaka 2021 hadi milioni...
0 Reactions
9 Replies
422 Views
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwa viongozi wa ACT kushindwa kubaini sheria zao wenyewe hadi kufikia kumpitisha ndugu Mpina kama mgombea urais wa ACT huku akiwa na chini mwezi mmoja tangu ajiunge na ACT ni udhaifu mkubwa mno...
1 Reactions
5 Replies
611 Views
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Nauliza tu maana haieleweki anayewapitisha ni Jaji Mutungi au ni Jaji I wa INEC Ahsanteni sana 🙏
6 Reactions
50 Replies
2K Views
MKURUGENZI WA UCHAGUZI TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI UCHAGUZI HOUSE ENEO LA UWEKEZAJI NJEDENGWA P.O.BOX 358 41107 DODOMA YAH: KUPINGA MAELEKEZO YA TUME KUTAKA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO KUTOFIKA...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Tanzania tuna bahati kubwa kuwa na Kanisa Katoliki kila koma ya nchi Leo pale Marekani Trump anahaha baada ya muhuni mmoja kuvamia shule ya Katolikii na kuuwa Wanafunzi wawili Tuzidi kuwaombea...
1 Reactions
10 Replies
381 Views
Hii taasisi ni mzigo na hakuna inachofanya. Inatumia rasilimali hovyo kabisa za Watanzania. Mambo mengi ya hovyo na bila shaka Watanzania wenzangu mnajua yanayofanyika. Kwasasa kila kitu kila...
1 Reactions
8 Replies
378 Views
Nasikia wamepisha vyama 17 kuwania urais. Hakuna chaama chenye ofisi kati ya hivyo. Ushenzi mtupu!
3 Reactions
7 Replies
579 Views
Assalam alaykum watu wa Mungu Poleni WATANGANYIKA wenzangu kwa najua mko hoi taaban Leo nimemkumbuka huyu Mwamba aitwaye Uday Hussein mtoto wa Sadam Sitaki kuleta historia yake...
1 Reactions
4 Replies
423 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
Ni maoni yangu huru kabisa Uwezo wake ni wa manufaa makubwa kwa nchi yetu kwa ujumla hivyo ni vema akawa na hiyo nafasi ya AG.
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Mgombea Ubunge kwa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amelalamikia uvunjwaji wa kanuni za kiuchaguzi kutokana na Mgombea Ubunge wa Chama Chama...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, ametua kwa kishindo mkoani Arusha na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo ofisi za Tume ya...
0 Reactions
2 Replies
374 Views
https://vm.tiktok.com/ZMAYcHd7T/
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…