Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki.
Mbali na...
Kichwa cha Mada: HAIJAPATIKANA KUTOKEA KAMA DR. SAMIA: Mkutano wa Kawe, 28/08/2025 - Je, mabadiliko ni haya?
Mwili wa Ujumbe:
Wakuu wa Jamii Forum,
Nimeona picha hii ikisambaa sana, na ujumbe...
Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama...
Walau wasingepitiwa na hili janga la taifa linaloangamiza kizazi cha kesho ambacho ndio nguvu kadi tegemewa ya taifa.
Je, ni kupitiwa ama kwakuwa wamehamanika?
Kitakachofanywa na hospitali za Rufaa na hospital kuu kama Muhimbili ni kutotoa huduma yoyote ya msingi kwa mgonjwa kama hajalipia pesa kwenye huduma husika.
Yes mpaka sasa ndicho kinachofanyika...
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa...
Mimi naomba kama yupo mwwnye majibu anisaidie.
Kama tuliambiwa "tunademka" na kwamba "kifo ni kifo" na hujwahi omba radhi kwa kauli za aina hiyo huku ukisema wewe ni "chura kiziwi' , sasa logic...
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.
"....baba...
Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela...
Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let.
Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya...
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.
Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana...
Mtu mmoja anatumika na watu wahuni kukwamisha mambo ya chama, CHADEMA inaingia kwenye mtego kirahisi.
CHADEMA ilipaswa kukubali siku ya kwanza kabisa mali kugawana sawa kwa amri ya mahakama...
Licha ya wapiga picha kujitahidi kutafuta Picha Kwa engo inayoweza kuonyesha Umati ni mkubwa
Licha ya Wasaniii wote kuwepo.
Licha ya matangazo kufanyika Kwa miezi na miezi.
Licha ya kutumia...
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu...
Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo.
Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa...
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa...
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.
Aidha wanafunzi wa...
===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza...