Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama...
Anayepita njia ya haki tutamfuata na kumsikiliza,kwa maana njia ya haki ni njia ya Mungu,kwa anayoyaongea Ndugu Polepole ni haki ya Watanzania ambayo imeporwa hivyo basi tutamuunga mkono Ndugu...
Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Wakuu,
Haya sasa waliochangia kampeni wameanza kufoka huku, ila tunajua hii ni njaa tu baadae waweze kujitwalia fedha bila tozo
-----------------------------
Wachimbaji wa Wadogo wa Madini...
Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960.
Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na...
JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!!
Wana Vunjo wote na Watanzania kwa ujumla, jambo kubwa limewadia! Leo tunapiga mbiu ya mgambo: Kipenzi cha Wanavunjo, Enock Koola...
Wakuu,
Ukiangalia mambo yanayoendelea nchini ni kuwa kila kitu kimetimia kwenye kuwasha moto, yaani kuni zimewekwa za kutosha utafikiri tunataka kumuua shetani mwenyewe, na kuni zina hali nzuri...
Ukisoma kitabu cha Mkapa My life my purpose .
Ameelezea mambo mengi Ila kubwa kuliko kazungumzia , Kuhusu tume ya huru ya uchaguzi.
Na akasema Kama angeweza kurudisha miaka Nyuma angehakikisha...
Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba.
Wakazi wa dar es salaam mmekumbana...
Jana Agosti 25, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Luhaga Joelson Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza wake, Bi. Fatma Fereji, walifika...
Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi...
Kama mwaka 1992 Serikali ya CCM ingewasikiliza wananchi walio wengi na kuendelea na mfumo wa chama kimoja huenda leo hii tungekuwa na siasa imara za ushindani na hata katiba mpya japo kwa...
Waliokuwa wanachama wa CHADEMA Kata ya Kinyerezi na baadae wakahamia Chaumma leo wametangaza kurudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee Sababu ya kuhama mifumo iliyopo kwenye chama CHAUMMA si ya...
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara...
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kondoa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Ashatu Kijaji, amesema anatambua kuwa bado ana deni kubwa kwa wananchi wa jimbo hilo na ameahidi kulilipa kwa kufanya...