Kufuatia funga ya Novena ya Kanisa Katoliki na Mahubiri ya Maaskofu wa Kanisa hilo Jumapili iliyopita, watu mbalimbali hususani wana CCM wamejitokeza kuwazodoa viongozi hao wa Dini kuwa...
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu...
Thread: Luhaga Mpina Hana Vigezo vya Kugombea Urais Hii Ndiyo Sababu kiundani na ningeshanga sana kukubaliwa
1.Muda wa Uanachama Ulikosekana
Kanuni za ACT WAZALENDO zinahitaji mwanachama awe na...
Kichwa kimekuwa kizito baada ya kumsikiliza ndugu Polepole, kuna nyakati unakutana na habari ngumu usiyo na majibu hata unaona bora usingeijua...! Ni dhahiri kuwa haitatokea mgombea mkuu wa Nafasi...
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi...
Hoja yangu nimeileta kwa Wema tu, hasa nikikumbuka ya 2019, 2024 na nikurudishe pia 2020 ambapo uligombea lakini Aliyetangazwa kushinda Ubunge wa Kigoma Mjini ni Kirumbe Ng'enda wa CCM kwa matokeo...
Nimekubali chawa n kazi kama kazi zingine
Usiunderestimate machawa kabisaa
Mda si mrefu soon tutaonaaa
Waliokuwa machawa kwa mda mrefuu nao wanakuwa na machawa
Aisee maisha punguza kesii...
Je Mahakama inaweza kutoa uamuzi kama ule ilioutoa dhidi ya Chadema wa kuzuia matumizi ya mali za chama?
Je Msajili nae anaweza kumuengua Mgombea wa CCM kujibu barua ya pingamizi iliyoandikwa na...
Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k
Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo.
Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada.
Ndo maana...
Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli...
Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms.
Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani...
Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force...
Kama unabisha Fanya Utafiti kidogo Kibaki, Uhuru na sasa Ruto walikuwa chama gani
Raila Odinga je?
Kwahiyo ni kawaida sana hata CCM ikiwa na Project zake kisiasa kwani Siasa ni Sayansi
Mlale...
Kama LISSU angeamua kua kama Mbowe akakiingiza Chama kwenye huu upuuzi wao ambao hautafanyika bila Reforms, hizi siku za Kurejesha Fomu ingekua ni vita, Wagombea Upinzani wangefanyiwa hila za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.