GE2025 Wachimbaji madini: Anayechukia Rais Samia kusifiwa ajinyonge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,115
Reaction score
3,490
Wakuu,
Haya sasa waliochangia kampeni wameanza kufoka huku, ila tunajua hii ni njaa tu baadae waweze kujitwalia fedha bila tozo

-----------------------------
Wachimbaji wa Wadogo wa Madini Mkoa wa Singida wamesema Wataendelea Kumpongeza na Kumsifu Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwatengenezea Mazingira Mazuri katika Shughuli zao Licha uwepo wa watu wanaobeza Kazi kubwa aliyoifanya Rais Huyo

Wakizungumza katika Kongamano kubwa la Wachimbaji wadogo Mkoani Singida ambalo limefanyika wilayani Iramba Wachimbaji hao wamesema serikali imeboresha Maisha yao kupitia Sekta ya Madini kutokana na kutatuliwa kwa Changamoto mbalimbali ambazo zilikuwa zikiwasumbua

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Suleimani Mwenda amesema katika Historia ya Tanzania mgodi wa Sekenke one ndio Mgodi wa Kwanza katika Uchimbaji Madini Nchini Huku Afisa Madini Mkazi mkoa wa Singida akieleza mafanikio ya Uchimbaji Madini Mkoani Singida katika Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego Amesema Sekta ya Madini inakuwa kwa Kasi Zaidi Mkoani Humo ukilinganisha na Sekta za kilimo na Ufugaji ambazo ndio nguzo za Uchumi huku Waziri wa Madini Anthony Mavude Akieleza namna Serkali ilivyojipanga kutumia teknolojia katika Uchimbaji ili kuondoa uchimbaji wa Mazoea

Chanzo: Wasafi FM
 
Bahasha za kaki ni hatari sana kwa ustawo Taifa
 
Sanduku huru na haki la kura si ndiyo mwamuzi wa kweli? Mkumbusheni atambue kufungua vyungu inec haliwezi kufumbiwa macho:

IMG_20240428_070927.jpg

Bila hivyo uhalali wao madarakani ni suala linalohitaji committal Kisutu liendee mahakama kuu, huko!
 
Back
Top Bottom