Salaam!
Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake?
Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi...
Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni
Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi
Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu...
Rais Dkt. Samia anaamini kuwa dini zinaweza kuwa suluhisho la migogoro. Tuunge mkono juhudi zake za kuhamasisha viongozi wa dini kuhubiri amani na upendo#Tunamjua
Wakuu,
Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani...
Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao...
“Niwaombe viongozi wote wa dini hapa nchini kuendelea kuhubiri Amani, Utulivu na Upendo kwa waumini wenu na kuwa kiunganishi ili jamii iweze kuondokana na migogoro isiyokuwa na tija. ” Rais Dkt...
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango akisimika mche wa mzabibu kama ishara ya Kuwepo kwa Kiwanda Kipya cha kusindika zabibu Mkoani Dodoma.
Cghini ya Rais Samia, Kiwanda cha kusindika zabibu...
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria...
https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP
Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia
Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa...
==
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua...
https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj
Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na...
Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya...
Kuelekea Dira2050 jumla ya vijiji 12,201 kati ya vijiji vyote vya nchi hii 12,318 vyapewa hati miliki.
Katika kutekeleza mwelekeo wa DIRA2050 ya Maendeleo ya Taifa 2050 wa kujenga miji jumuishi...
==
Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza...
Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali...
Ikiwa itaendelea kuaminiwa, CCM itatoa elimu bure kutoka shule ya awali hadi chuo kikuu ifikap 2050 hii itawafanya watoto wengi wa masikini kusoma mpaka mwisho wa akili zao wala sio mwisho wa pesa...
CHUKUA KALAMU NA KARATASI,
UNESCO: KILA $1 KWENYE ELIMU YA MTOTO WA KIKE INAZALISHA $3 KWENYE GDP | RAIS SAMIA KATUMIA 47.8M KUJENGA SHULE ZA SAYANSI ZA WASICHANA 26
Rais Samia amejenga shule...