Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo. Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
1 Reactions
2 Replies
240 Views
Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini. Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono...
26 Reactions
62 Replies
4K Views
Tamaa ya kikwete ya ufisadi imeharibu hata mazuri aliyo wahi kufanya. Kama Ndugai wengi watasheherekea hasa baada ya haya ya CCM. Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
0 Reactions
8 Replies
660 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi. Mimi ni mmoja katika tasnia hii. kuna malalamiko mengi juu ya kwa nini vyombo vya habari Tanzania haviandiki tuhuma bali vinaandika kanusho za tuhuma. mfano kama hii ya PolePole Kwa...
3 Reactions
12 Replies
980 Views
Badala ya kuipa support ya pamoja timu yetu Watanganyika wakaingiza mambo ya Uchadema ana Uccm Matokeo ndio hayo tumefeli wote kama taifa Ahsanteni sana Nawatakia Sabato njema 🙏
10 Reactions
98 Replies
3K Views
Lissu alivyo ongelea makaa ya mawe ya Rostam siku kutoka juu ikaona ni uhaini. Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji mkisubiria Chadema peke yao ingawa ni wazalendo wanazuiwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
249 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Hakika ni moshi wa kijani kwelikweli kwa maslahi ya wapiga kura.
1 Reactions
3 Replies
466 Views
Niseme ukweli, ni kwamba mpaka Sasa sijaona au kuridhika na hoja za kiuchumi za wagombea urais wakiichukua fomu INEC mwaka huu. Hakuna mgombea urais aliyeonesha namna atakavyo ikwamua Tanzania...
3 Reactions
6 Replies
336 Views
Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni...
0 Reactions
162 Replies
6K Views
Makala hii inaelezea kitabu kinaitwa UNMASKING INEQUALITY in Tanzania and Beyond. Hakika hiki kitabu kinastahili kusomwa na kila mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe. Hakika Mama anazidi kutufikia.
1 Reactions
11 Replies
400 Views
Baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kufunguka kwamba kundi lake lilitaka kuanzisha chama baada ya kuenguliwa kugombea Urais Kupitia CCM Mwaka 1995, Gazeti la Raia Mwema linadokeza kwamba Mpango...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawaza tu maana Chaumma wameshasahaulika kama Sno Chama au Kampuni Baadae Mlale unono 🙏✔️
3 Reactions
6 Replies
356 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wagombea ubunge na udiwani waliopitishwa na vyama husika, kufika kwa wasimamizi wa uchaguzi kuchukua fomu za tume hiyo.
1 Reactions
6 Replies
529 Views
Hawa watu wapo popote ulipo Si Benki, passport hata kwenye Kura wapo. Huenda Hata Lissu aliipigia Kura veggies 2020
6 Reactions
15 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…