Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya...
Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa
Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua...
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA,
20 NOVEMBA 2015
Mheshimiwa...
Mwali kaona Mapungufu yake, baada ya Novena , hivyo kupendekeza apewe Matron . Matron kasoma Sheria , hivyo anajua umuhimu wa Katiba, maana ya Uhaini, na madhara ya Kufungia Kanisa la Ufufuo na...
Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri.
Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo.
CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita...
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu...
WANU H. AMEIR ATEULIWA NA CCM UBUNGE JIMBO LA MAKUNDUCHI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Wanu Hafidh Ameir kugombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa...
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji...
Wanabodi, ni wazi kwamba huko nyuma, hakujawahi kuwepo "ubunifu" kama huu wa "Chama Dola", kuchangisha fedha kutoka kwa watu, mashirika na taasisi mbalimbali na maigizo yake yote yanayoambatana na...
Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania.
Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea.
Siku hizi mawaziri ambao sio manilionea wanachekwa . Wakina Mwigulu wanashindana na...
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni miongoni mwa Watanzania wazalendo wa nchi yangu, ambaye japo ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini tunapokuja kwenye kutanguliza mbele maslahi ya...
Maana sikusikia popote wala kuona kama Timu ya Simba ilichangia chochote kwenye Harambee kabambe ya ccm, iliyokusanya Matajiri wengi akiwemo hata raia wa kigeni Harbhinder Seth.
Ni kwanini Simba...
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.
Hakuna sababu ya kutompigia...