Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali...
Ikiwa itaendelea kuaminiwa, CCM itatoa elimu bure kutoka shule ya awali hadi chuo kikuu ifikap 2050 hii itawafanya watoto wengi wa masikini kusoma mpaka mwisho wa akili zao wala sio mwisho wa pesa...
CHUKUA KALAMU NA KARATASI,
UNESCO: KILA $1 KWENYE ELIMU YA MTOTO WA KIKE INAZALISHA $3 KWENYE GDP | RAIS SAMIA KATUMIA 47.8M KUJENGA SHULE ZA SAYANSI ZA WASICHANA 26
Rais Samia amejenga shule...
==
Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza...
Hili ni angalizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani.
wapo wanaotaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughaibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
Kuelekea 2030 Rais Samia ameboresha miundombinu ya Usafiri na usafirishaji ikiwa ni Nguzo ya Uchumi Shindani hasa kwa kujenga mtandao wa reli ya SGR wenye urefu wa kilometa 2,809 kwa thamani ya...
Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja.
Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya...
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata...
Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa.
Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni'...
==
Uzalishaji wenye tija ni msingi wa kujenga uchumi mkubwa na shindani kama inavyosisitizwa katika Dira ijayo 2050! Katika kufikia hilo, upatikanaji wa mbolea Wakati Rais Samia anaingia...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Mkurugenzi Kafulila...
MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO
Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu...
Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi.
Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya...
Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa ...
Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje.
Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa.
Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi...
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima,
Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta...
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa...
Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii .
Hoja zao ni zile zile
Amani ikipotea tutaseka.
Tuilinde Aman yetu .
Kuna Maisha baada ya Uchaguzi...