CCM ni taasisi kubwa yenye uzoefu mkubwa na ukomavu kisiasa hivyo huendesha mambo yake kisayansi. Wahusika wajirekebishe madhaifu yao waache kulalamika na wajiandae kuwaunga mkono wenzao waliteuliwa.
Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako.
Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na...
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.
Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.
Mwl...
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la...
Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM.
Yule...
Kichwa cha Habari: Wito wa Dharura kwa Uongozi wa Kimaadili na Kiroho Kuhusu Masuala ya Haki na Uadilifu wa Kitaifa
Mheshimiwa Mhashamu Dkt. Maimbo Mndolwa, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana...
Ndugu wanajamii naomba nilete shauri
Kwanini biblia imekuwa na tafsiri nyingi kiasi kwamba kuna biblia ya vitabu 88 hiiniya muethiopia,na 78,hii niya kikatoliki,na 66, hii niya king Jemsi ya...
Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala.
Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi...
Wana-Ccm wenzangu ndugu Robert Heriel Mtibeli , mfikirieni kumteua .
Kijana huyu anatufaa katika Serikali , Elimu yake ni Shahada .
Umri 30s
Atatufaa katika kutuandikia hotuba , n.k
Asante
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na...
https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2
IN BRIEF:
1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa...
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua...
Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo.
Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda...
1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu.
2: Kutokea maamuzi ya ajabu...
.
Kupitia ukurasa wa Instagram Fredrick Lowassa ameandika
“Baba – Nakumbuka hii siku, Agosti 10, 2015. Watanzania wanajua. Dunia inajua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania...
Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani nchini Tanzania katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane Jimbo katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo amesema " Sababu unasikia wakati...
Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama...