Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa.
Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni'...
==
Uzalishaji wenye tija ni msingi wa kujenga uchumi mkubwa na shindani kama inavyosisitizwa katika Dira ijayo 2050! Katika kufikia hilo, upatikanaji wa mbolea Wakati Rais Samia anaingia...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Mkurugenzi Kafulila...
MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO
Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu...
Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi.
Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya...
Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa ...
Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje.
Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa.
Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi...
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima,
Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta...
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa...
Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii .
Hoja zao ni zile zile
Amani ikipotea tutaseka.
Tuilinde Aman yetu .
Kuna Maisha baada ya Uchaguzi...
Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu,
Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na...
Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki.
Naomba kwa leo watu...
Majina ya waliokuwa wabunge wa CCM wenye majina makubwa, kama January's Makamba, Ummy Mwalimu, n.k wote wangehamia CHADEMA. Na mwaka huu CCM ingekufa kifo kibaya sana.
Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara
Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa?
Pole pole nijibu
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii...
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo...
Wanabodi,
Tafsiri ya Neno Ujinga.
Naomba nianze na tafsiri ya neno mjinga maana watu humu hawakawii kusingizia watu kuwa tumetukana watu humu!. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu
neno...
Mchungaji Matsahi amesema tangu afike Dar miaka ya mwishoni ya 1990s ndoto yake ilikuwa kumiliki nyumba Masaki kwa uwezo wa nguvu za Mungu na Hatimaye ndoto yake imetimia
Mchungaji Matsahi...