Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E Kuhusu G-55 na Wabunge...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari...
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon. ongezea hii kwenye...
8 Reactions
242 Replies
11K Views
MAABARA ZA KUCHUKUA WANAFUNZI 1000 KUJENGWA MuCE Wizara ya Elimu kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), inaendelea kuwekeza katika miundombinu mipya katika Chuo Kikuu...
2 Reactions
4 Replies
383 Views
Diwani wa Kata ya Marangu Mashariki Jimbo la Vunjo, Jonas Mawala ameweka wazi kuwa ahadi nyingi walizo ahidi kwa kushirikiana na mbunge wa jimbo hilo Dk.Charles Kimei wamezitekeleza na hakuna...
1 Reactions
1 Replies
342 Views
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi... Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa...
6 Reactions
75 Replies
2K Views
Agnesta Lambert ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) amesema kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria itasimama kidete na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...
0 Reactions
7 Replies
482 Views
Tusitafute majibu rahisi kwenye maswali magumu. Kwenye siasa za kidemokrasia, uchaguzi ni kitendo kitakatifu zaidi. Majibu ya viongozi wa CCM na serikali yake kuwa, muda uliobakia ni mchache...
5 Reactions
4 Replies
455 Views
Wakuu, Kuna jambo nilikuwa naangalia hapa jukwaani kwenye uzi wa siku ya kusaini kanuni za maadili, si ndio nikaona kale ka alama kuonesha video imeondolewa bana, kufika utube wanakwambia sorry...
18 Reactions
89 Replies
5K Views
Tanzania ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuwa tafiti zinaonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, Hizi ni baadhi ya kanuni ambazo ACT Na vile vyama vingine 14 walienda kusaini last week. Kwa kweli No Reforms No Election. This is too much! =============== Mtu yeyote hatoruhusiwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, Kunazidi kuchangamka, kama waliweza kumvumilia mhaini halisi wanawezeje kuendelea kumshikilia mwingine huku Watanzania wakiona ni mchongo mchana kweupe kabisa? Katika waraka wake...
5 Reactions
5 Replies
592 Views
Mwenyekiti CCM wilayani Kilindi, Rajabu Kumbi amewataka madiwani kuondoa hofu juu ya kurejea nafasi zao kwa maelezo kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa katika kufanikisha miradi...
0 Reactions
4 Replies
441 Views
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni...
16 Reactions
121 Replies
7K Views
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election. Kama...
1 Reactions
52 Replies
2K Views
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba: Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Stephen Wasira ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi kimefanya maendeleo makubwa katika sekta nyingi nchini ikiwemo sekta ya elimu licha ya kuwa watu...
0 Reactions
11 Replies
555 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance)...
0 Reactions
4 Replies
466 Views
Back
Top Bottom