PreGE2025 Chadema kugomea kusaini maadili ya uchaguzi wamelenga nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,725
Reaction score
17,222
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?

Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.

Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
 
Waachane na kushiriki uchaguzi wapambane na slogan yao ambayo ni ya kiutapeli.Watanzania wameikataa
 
Walishasema No reform no election hujaelewa wamelenga nini hadi sasa kijana? Mnataka na notes mkariri?
 
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?

Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.

Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
mwenye kujua content ya maadili ya uchaguzi plz ailete hapa tuone kuna ukweli au uongo uongo usio tekelezwa.
 
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?

Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.

Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?

Mbona hilo hata ukiwa na akili ndogo ya kawaida, linaeleweka!! Ina maana wewe mpaka umri huo ulio nao hujui maana ya kusaini? Au ninyi ndio ambao huwa mnasaini halafu baadaye mnakuja kushtuka mnaposomewa mlichosaini?

CHADEMA imejaa watu wenye akili na wenye uelewa, siyo watu wa kudanganywa na watu machawa waliokosa akili kama huyo Ramadhania. CHADEMA hakuna akina Mangungo. Kusaini ni kukubali/kuridhia kilichoandikwa. Kama hukubaliani nacho, unatakiwa kugomea kusaini. Unakuwa ni mwendawazimu, kama unasiani kuridhia, halafu baadaye unaanza kulalamikia kitu ulichosaini.
 
Hayo maadili yamefuata sheria kama inavyotaka au yamefuata maneno ya ccm ndio watu wafuate?
 
Walishasema No reform no election hujaelewa wamelenga nini hadi sasa kijana? Mnataka na notes mkariri?
sasa mbona akina Nshala wanalialia wanapoambiwa hamjasaini hamtashiriki? Kwakuwa sion dalili ya reforms kwenda kufanyika Mimi nilidhsni sasa chura kapigwa teke kwenye no reforms no election, nini tena?
 
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?

Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.

Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?

Huwezi kukataa kuzaa huku unalala na mwanamke kila siku bila Condom, kama hutaki mtoto na mapenzi unaacha!

Msimamo wa Heche unajibu maswali yako yote ya Kipumbavu!
 
Mbona hilo hata ukiwa na akili ndogo ya kawaida, linaeleweka!! Ina maana wewe mpaka umri huo ulio nao hujui maana ya kusaini? Au ninyi ndio ambao huwa mnasaini halafu baadaye mnakuja kushtuka mnaposomewa mlichosaini?

CHADEMA imejaa watu wenye akili na wenye uelewa, siyo watu wa kudanganywa na watu machawa waliokosa akili kama huyo Ramadhania. CHADEMA hakuna akina Mangungo. Kusaini ni kukubali/kuridhia kilichoandikwa. Kama hukubaliani nacho, unatakiwa kugomea kusaini. Unakuwa ni mwendawazimu, kama unasiani kuridhia, halafu baadaye unaanza kulalamikia kitu ulichosaini.
Una maanisha kuwa kutakuwa na fursa nyingine ya kusaini kama mtaona mambo yanaeleweka huko mbeleni? Hamuoni kama mmecomplicate mambo hapo? Watesi wenu wanaweza kulidhia kufanya mabadiliko kama mnavyopendekeza lakini wakawanyima haki ya kufanya mikutano ya kampeni kwakuwa hamkusaini maadili ya uchaguzi; hamuoni kama ndani yenu kuna mapandikizi?
 
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?

Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.

Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Ili kufanikisha mission yoyote,kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY. Unachofanya unaepuka kila kikwazo kitakachokukwamisha usifikie lengo. Maneno yasiwe mengi,acheni mifumo iliyopinda inyooshwe jamani.
 
Hayo maadili yamefuata sheria kama inavyotaka au yamefuata maneno ya ccm ndio watu wafuate?
sheria ni sheria kaka hata kama ni mbaya hadi hapo itakapobadilika au kufutwa. Katiba ya sasa inampa Rais mamlaka ya kufanya hivyo anavyofanya sasa, na bahati mbaya au nzuri hata huyu Rais kaikuta iko hivyo kwa miaka 60. Kumtukana au kumlazimisha lazima aibadilishe leoleo ni kipengele ambacho kina maswali mengi sana.
 
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?

Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.

Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Swali fikirishi je anaye takiwa kusaini maadili ni mgombea ama chama

Hizi ndiyo kanuni za wenda wazimu hata wagombea wenyewe hawapo yaani una saini fomu za wagombea hewa,

Hii ndiyo aina ya mifumo kandamizi ya uchaguzi ambayo inatengenezwa na wajinga na wapumbavu
 
Huwezi kukataa kuzaa huku unalala na mwanamke kila siku bila Condom, kama hutaki mtoto na mapenzi unaacha!

Msimamo wa Heche unajibu maswali yako yote ya Kipumbavu!
Mbona hilo hata ukiwa na akili ndogo ya kawaida, linaeleweka!! Ina maana wewe mpaka umri huo ulio nao hujui maana ya kusaini? Au ninyi ndio ambao huwa mnasaini halafu baadaye mnakuja kushtuka mnaposomewa mlichosaini?

CHADEMA imejaa watu wenye akili na wenye uelewa, siyo watu wa kudanganywa na watu machawa waliokosa akili kama huyo Ramadhania. CHADEMA hakuna akina Mangungo. Kusaini ni kukubali/kuridhia kilichoandikwa. Kama hukubaliani nacho, unatakiwa kugomea kusaini. Unakuwa ni mwendawazimu, kama unasiani kuridhia, halafu baadaye unaanza kulalamikia kitu ulichosaini.
Shida yenu nyingine ni kudhani wanawake ni dhaifu sana; kudhani hivyo ni udhaifu wa kumuona mama yako ni dhaifu pamoja na yooote aliyoyafanya kwako kabla ya mimba, wakati wa mimba na baada ya kuzaliwa. Mfano, Hii katiba ni ya mwaka 1977; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli waliitumia hivihivi ilivyo kwenye chaguzi zote. Na chadema ilikuwepo miaka yoooote hiyo, na Lissu na Heche walikwenda bungeni kwa katiba hiyohiyo na Tume hiyohiyo. Lakini kwasababu safari hii Rais ni Samia (mwanamke) hatakiwi kuitumia kabisa la sivyo atakiona kama asipoibadilisha. Hakiyanani mnakosea sana na mnasababisha Rais asione umuhimu wa kuibadilisha.
 
Kwanini kanuni zina badilishwa ama kubuniwa
 
Back
Top Bottom