Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya...
0 Reactions
3 Replies
291 Views
=== Taasisi maarufu ya utafiti ya Serengeti Bytes imetoa orodha ya Watanzania 100 ambao mwaka wa jana ( 2023 ) kwa namna moja au nyingine walifanikisha au kusaidia kuleta...
20 Reactions
176 Replies
8K Views
Serikali ninayokwenda kuiunda nitaunda serikali ya umoja ya kitaifa ambapo ahadi yangu kwa Tanzania baada ya kuchagua kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya siku 100 za kwanza...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Tunauliza mkakati wa ajira kwa vijana wa TZ. Hiyo ni kazi ya serikali duniani kote. Hatutaki kusikia eti vijana wajiajiri. Eti tunaweka mazingira mazuri ya ajira, NOOO! Ktk kipindi cha miaka 4...
2 Reactions
4 Replies
452 Views
Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni...
1 Reactions
8 Replies
696 Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo, Ametaja...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Jaribio la kutaka kumpa mwekezaji hiyo supply chain yote kwa mda wa miaka 20 au 30 sio sawa hata kidogo kwa nchi kusubiria miaka 30 ya mwekezaji ndo uanze kunufaika moja kwa moja na rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
GT Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Bila makelele yao naamini hali...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Mkituchagua chama Makini katika uchgazi mkuu 2025 tutajenga hospitali za kata nchi nzima na kuweka vifaa tiba pamoja na wauguzi, madakitari ili kuwez kuwahudumia watanzania ambapo serikali...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini mkoani Manyara, Flatei Massay ametangaza rasmi kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea ACT Wazalendo Massay alihama CCM wakati wa mchakato wa uteuzi...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi serikali itaanzisha na kutoa ajia mpya zaidi ya milioni moja kwa vijana wa Kitanzania...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi yeye na serikali yake watatoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia elimu ya...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema: "Nataka niseme kwamba serikali...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Salum Mwalimu, ameanza ziara yake mkoani Tanga kwa ajili ya kuomba ridhaa ya wananchi kumpa...
0 Reactions
13 Replies
913 Views
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Wakuu, Mwanasiasa mkongwe, kada na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, amekosoa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisema hazijikiti kwenye...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Kassim Majaliwa Majaliwa amewapelekea salamu mahususi kutoka kwa Mh Rais,Mama Samia Suluhu Hassan,MADEREVA wote wa Serikali Nchini kwa KAZI nzuri...
1 Reactions
4 Replies
471 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…