Habari wanajamvi
Kampeni/matamasha yanaendelea
watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi...
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa...
Mgombea ubunge wa jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi CCM amewaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan, amefanya hivyo leo katika...
Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
#HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini...
Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema akichaguliwa kuwa Rais atahakikisha Viwanda Vidogo vidogo vya kusindika Matunda vinaanzishwa katika...
My Take
SSH anaendelea kujitanabaisha kwamba she is exceptional in delivery
=======
Chini ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mapato ya ndani ya...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa...
Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
CCM mnkuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe?
Mnawalazimisha watu kuja kwenye kampeni zenu na kuwatisha kuwa lazima...
Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata...
Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia.
Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho...
Nilisikia murilo anasema alifuata sheria kwenye lile sakata la kuwakamata watu na kuwapiga na kuwatupa porini kwamba ni la kisheria.
Mlio muhoji mbona hamkumuuliza vizuri ni sheria gani hiyo...
DKT SAMIA ATUA NYANDA ZA JUU,AANZIA SONGWE
Na Albert Kawogo
MGOMBEA kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ametua Ukanda...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua...
Rais Samia anaendelea kuacha alama za Uongozi Bora na wenye faida Kwa watu wake .
Mashuhuda wa hili ni wakulima wa Korosho ambao Kwa miaka Mingi wamekuwa wakitaabika na Kilimo Cha Korosho lakini...